Machawa WA CCM mmepoa ,Nini shida,,?

Machawa WA CCM mmepoa ,Nini shida,,?

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,218
Reaction score
2,471
Mmekuwa wepesi kutetea chama kuliko kutetea ukweli. Serikali inapokosea mnatafuta visingizio, mkikosa hoja mnaanza kutukana na kushambulia watu binafsi. Mnachanganya CCM na Tanzania kana kwamba kuikosoa serikali ni kukichukia chama. Uzalendo si kutetea kila kosa la viongozi, bali ni kuwa na ujasiri wa kusema ukweli hata unapoumiza upande wako. CCM si Tanzania, wala viongozi si miungu watu.
 
Back
Top Bottom