Very creative.......
Sikonge na ww kumbe mchokozi.... Kaunga njoo umkanye huyu mwana mpotevu
View attachment 67778
..........
Siyo Uchokozi Boflo.
Unajua leo nimeamka na kama kawaida, nikishawasha Computer namwita WIFE na kumuonyesha nini leo BOFLO kaweka.
Juzi nusura animwagie chai kwa sababu alishindwa kujizuia kucheka alipoona Panya na Mouse wakibakana.
Nimeona ngoja nikuamshe huko ulipo ili utupe RIZIKI yetu ya kila siku.....
BOFLOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hata hivyo, kama huyu dada akiwa SHEMEJI yetu, basi mtatuuwa kwa vituko vyenu. Keep it up 🙂
BOFLOOOOOOO, here you are.
Shemeji yako hapa umeumiza mbavu. Homeboy mbaya wewee.
Boflooooooooooooooooooooooow!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona kama dryer ina macho pua na mdomo??View attachment 67778
..........
Jamaa anamix kweli nataka awe shemeji yangu
Jamaa anamix kweli nataka awe shemeji yangu