Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
Kwan yeye ni mungu??
We oa bhana!!
We oa bhana!!
Kwan yeye ni mungu??
We oa bhana!!
kama unamwamini MUNGU hakuna sababu ya kuogoga huo mwiko haukuhusu wewe so just take that girl by faith kila kitu chawezekana kaka
Mwiko huu unaozungumziwa hapa, Sio Mwiko wa Ugali.
Ni Marufuku white girl.
Sasa ni nini Ushauri wako. white girl
Mtangulize mola mbele
Ushauri wangu hakuna miiko ni iman tu za kishikirina hapo
Kama ni lazima basi fanya ibada katika Jina la Yesu ya kuvunja miiko hiyo na laana (breaking the curse and yoke) bila hivyo kweli yatakupateni mibalaa.
pole....
Mamndenyi nipe mifano
Familia yetu kuna meeko kuoa au kuolewa kwa mangi lemge as miaka hiyo babu yetu aliuliwa na mangi. Baba yetu mmoja alioa huko yule mama alipata mimba akazaa vipacha sita vidogooo na vikafa vyote walipokumbuka wakamtoa yule mama fasta mzee akaoa mwingine. ........................................................................................................................... Kama unakumbuka familia moja mtu na kaka yake walioa one house wakaambiwa na shangazi yao hiyo ni meeko wakaweka ngumu mwisho waliondoka wote wanne kwa mpigo.................................. .........!........kwa leo inatosha.