Mchoro huu umenifikirisha sana

Mchoro huu umenifikirisha sana

Hahaha!!! hujui hata punda umemuongeleaje?
Punda anauzito mdogo so ni rahisi kupita kwenye hizo barabara bila uharibifu.
Kwani mwalimu anapomuuliza dent swali inamaanisha yeye hajui majibu?

Nimezungumzia punda kama usafiri uliokuwa ukitumika miaka hiyo, sasa unapokuja kusema punda haruhusiwi kupita barabara za lami na wakati naongelea mika ya nyuma kwenye barabara za kirumi kabla hata ya tecnolojia ya lami kuja, unakuwa unanipa mashaka kama umeelewa nilichokiandika
 
Barabara za kitambo zilipitisha punda kama ulivyosema.
Barabara za sasa moja ya sheria ni kutokuruhusu mifugo kupita juu ya lami.
Unajua sababu ni nini kisayansi mwanazuoni wetu?
 
Barabara za kitambo zilipisha punda kama ulivyosema.
Barabara za sasa moja ya sheria ni kutokuruhusu mifugo kupita juu ya lami.
Unajua sababu ni nini kisayansi?
We usiwe na ubongo wa njiwa

Uwe unaelewa mantiki ya uzi na mantiki ya hoja zangu

Mleta mada kazungumzia kua barabara za zamani ziliweza kudumu muda mrefu pasipo kujengwa na mainjinia wenye vyeti, lakini tangu mainjinia wamekuja barabara zimekuwa a pothholes

Mimi ndo nimempa sababu za kuonesha kwanini barabara za miaka hiyo ziliweza kudumu kwa kuonesha namna zilivyokuwa zinatumika kwa ku refer aina ya usafiri uliokuwa unatumika

Punda ndio ulikuwa usafiri mkubwa miaka hiyo

Sasa nakushangaa unavyouja na habari za kusema punda kapigwa marufuku kupita kwenye lami wakati hoja yangu ya punda imezungumzia miaka mingi kabla ya ujio hata wa lami

Soma uelewe ndio uje u criticize usijifanye mkosoaji mwenye ujuaji mwingi hapa tunaeleweshana
 
Hoja yako kuu ni uzito tu ndio unaamua strength ya barabara huu ndio ubongo wa njiwa.
Barabara ya kuruhusu punda kupita inatakiwa kuwa strong kuliko hizi za kawaida kama hujui.
Nimekuuliza swali kwanini hao punda hawaruhusiwi kupita barabarani naona umekwepa
umekuja na ubongo wa njiwa.
Acha ushambenga
 
Mkiacha kusutana mabishano yenu yana hoja za MSINGI na zenye kuelimisha.......
 
Hoja yako kuu ni uzito tu ndio unaamua strength ya barabara huu ndio ubongo wa njiwa.
Barabara ya kuruhusu punda kupita inatakiwa kuwa strong kuliko hizi za kawaida kama hujui.
Nimekuuliza swali kwanini hao punda hawaruhusiwi kupita barabarani naona umekwepa
umekuja na ubongo wa njiwa.
Acha ushambenga
Mkuu bado una amini sababu ya wanyama kupigwa marufuku kwenye barabara za lami ni kutokana na uzito?

Yani una amini punda ana uzito mkubwa kuliko semi?

Mbona hiace za kubeba abiria kama daladala zimepigwa marufuku kutumika kwenye barabara kuu za mijini, je hiyo ni kutokana na na uzito au kuna sababu nyingine?

Una amini sababu ya wanyama kuruhusiwa wapite barabarani ilikuwa ni hoja ya msingi sana kuliko hiace iliyokuwa inabeba abiria?

Hujawahi kuona hao wanyama wakiwa wamebebwa kwenye malori wakisafirishwa kupitia barabara hizi za lami?

Kwamba we una amini uzito wa lori juu ya lami ukiongeza na mzigo wa hao wanyama ambao wamepakiwa kwenye hilo lori bado unaona uzito huo ni mdogo kuliko wangetembea kwa miguu yao wenyewe?

Ngoja nikupe sababu

Sababu ya wanyama kutoruhusiwa kupita barabara za lami ni kutokana na usalama wa mifugo

Pili kuepusha jam isiyokuwa na ulazima, ebu imagine ulimwengu ambao tupo saizi ambapo kuna lot of vehicles zenye kuleta jam halafu kwa mazingira hayo hayo tena wakaruhusu na wanyama watumie barabara hizo hizo

Hali itakuwaje?

Ili wanyama waruhusiwe kutumia barabara hizi basi kunatakiwa kuwekwa sheria ngumu ambazo zitawadidimiza raia wanaomilka vyombo vya moto

Tatu kwa ajili ya usalama wao, na usalama wa watu, ajali nyingi zingeweza kutokea kwa kusababishwa na wanyama

Lakini pia wanyama wamepigwa marufuku kwa ajili ya kufanya miji iwe misafi na kufanya ustaarabu wa kimazingira, imagine msululu wa mifugo kutoka chanika mpaka posta hivi ni kiasi gani cha mavi ambacho kitakuwa kimetapakaa barabarani?
 
Mkuu hii ni physics sio siasa.
Kama hujasoma interference au vibration unaweza kudhani uzito ndio kila kitu kwenye hoja yako.
Hauitaji umsome Tesla kwenye inteference na vibration kujua kati ya gari na wanyama kipi
kinasababisha intereference na vibration kubwa kwenye barabara.
Kama ushawahi ku-observe watu wakiwa wanafanya matching mfano askari wakifika kwenye daraja wanaacha.
Fikiria kuhusu vibration and frequency tu mkuu sio uzito.
Tesla waambia anaweza kutengeneza tetemekola la ardhi naona hamkumuelewa.
Hapa hoja ya uzito haipo naona umekazana na uzito.
 
Msipende kuitukana elimu, engineer anatengeneza barabara kulingana na pesa ambayo ipo

Pia kipindi zinatengenezwa hizo barabara ndio kile kipindi ambacho usafiri uliokuwa unatamba ulikuwa ni punda

Punda anauzito gani wa kufanya barabara ikreki?

Utafananisha na digital world ya kisasa ambayo mpaka excavators zenye minyororo zinapita kwenye barabara ya lami?
Easy bro...umejibu kwa hasira sana😂😂😂
 
Mkuu hii ni physics sio siasa.
Kama hujasoma interference au vibration unaweza kudhani uzito ndio kila kitu kwenye hoja yako.
Hauitaji umsome Tesla kwenye inteference na vibration kujua kati ya gari na wanyama kipi
kinasababisha intereference na vibration kubwa kwenye barabara.
Kama ushawahi ku-observe watu wakiwa wanafanya matching mfano askari wakifika kwenye daraja wanaacha.
Fikiria kuhusu vibration and frequency tu mkuu sio uzito.
Hapa hoja ya uzito haipo naona umekazana na uzito.
Sijajua vibration ya Punda ina pressure ya kiwango gani kuzidi gari lililokimbia kwa 70 mph

Sijajua kimahesabu utahitaji semi ngapi kufikia vibration ya punda wawili wanaokokota toroli

Mkuu bado hoja yako ya interference na vibration sijaielewa, kwasababu uzito una nafasi kubwa sana kwenye kusababisha vibration na effect ikaonekana kuliko kitu ambacho uzito wake ni mdogo

Ebu angalia hii semi hapa
1646045389952.png

Kwamba punda 50 wakijipanga kwa urefu huo wataweza kuwa na effect kwenye barabara kiasi cha kusababisha pothholes kuliko hilo semi?

Ngoja twende kwa mifano iliyo hai
1646045616857.png

Hiyo ni convoy ya punda, kwa maana hiyo ukifananisha na picha ya hapo juu inayoonesha semi utaweza kusema, msafara huu wa punda unaiweka barabara kwenye hatari ya kupata creki kwasababu ya vibration ya hao wanyama iko high kuliko semi la hapo juu?
 
Dunia ya Sasa Imebaki kuwa ya Biashara. Lazima watengeze Mnyonyororo wa Biashara iharibike ili watengeneze

Angalia hata Dini.. Nguo..viatu.. Vyote vimekuwa biashara
 
Sijajua vibration ya Punda ina pressure ya kiwango gani kuzidi gari lililokimbia kwa 70 mph

Sijajua kimahesabu utahitaji semi ngapi kufikia vibration ya punda wawili wanaokokota toroli

Mkuu bado hoja yako ya interference na vibration sijaielewa, kwasababu uzito una nafasi kubwa sana kwenye kusababisha vibration na effect ikaonekana kuliko kitu ambacho uzito wake ni mdogo

Ebu angalia hii semi hapa
View attachment 2134000

Kwamba punda 50 wakijipanga kwa urefu huo wataweza kuwa na effect kwenye barabara kiasi cha kusababisha pothholes kuliko hilo semi?

Ngoja twende kwa mifano iliyo hai
View attachment 2134003
Hiyo ni convoy ya punda, kwa maana hiyo ukifananisha na picha ya hapo juu inayoonesha semi utaweza kusema, msafara huu wa punda unaiweka barabara kwenye hatari ya kupata creki kwasababu ya vibration ya hao wanyama iko high kuliko semi la hapo juu?
Hahahaha!!! inaonekana physics ya basics kabisa uko mweupe.
Hivi hujui tairi ilivyoundwa ni shock absober?
Ishu ni inteference naona hujui hata inteference huwa inatokeaje..
Nimekutolea mfano wa watu wanafanya matching naona huelewi.
enewei endelea kujua unavyojua...
 
Ungekuwa unajua hata kwa nini minala miwili iliyo karibu haiwezi kutumi frequency moja tungeendelea kujadili.
 
Haya we mweusi tuambie inteference ndio kitu gani?

Umeshindwa hata kuelezea huo muingiliano una facilitate vipi kusababisha barabara kuelemewa

Interference ya punda kwenye barabara ina asilimia kubwa kuiweka barabara kwenye risk yakutengeneza pothholes kuliko jam ya semi truck zilizobeba makontena na pipes za gas?
 
Ungekuwa unajua hata kwa nini minala miwili iliyo karibu haiwezi kutumi frequency moja tungeendelea kujadili.
Minara ya frequency ndio hoja iliyopo mezani?

We unajua show ya kwanza aliyo perfom p mawenge alipigia kwenye ukumbi gani? na kiingilio kilikua shingapi?

Mbona unakimbia mada kishamba sana
 
mkuu naona upo hapa ku-win argument..
Amini unachokijua..
Inteference ni topic ya form3 kwenye wave siwezi kuanza kuielezea hapa.
Interference ni ile ile iwe kwenye sound au maji.
 
Sasa ulianza kuileta hapa ya nini kama huwezi kuielezea?
Physics sio history ndug yang..
Ukishaambiwa interference umetolewa na mifano ya kutosha lakini
umeng'ng'na na uzito hujui hata shock absober nini.
Preminary physics hiyo.
 
Na ndio maana nimesema engineer anafanya kazi kulingana na hela uliyo offer, hiyo ikimaanisha kuna grade za ubora ambazo kadri ubora unapokuwa wakiwango cha juu basi na gharama yake inakuwa ghali mno
Cha ajabu zile walizojenga wachina ndiyo zinadumu kwa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom