Mkuu, kama ma elfu ya miaka iliyopita walibuni barabara zilizodumu mpaka sasa licha ya kwamba unadai sababu ya kudumu ni kutumika na punda ambao sio wazitoMsipende kuitukana elimu, engineer anatengeneza barabara kulingana na pesa ambayo ipo
Pia kipindi zinatengenezwa hizo barabara ndio kile kipindi ambacho usafiri uliokuwa unatamba ulikuwa ni punda
Punda anauzito gani wa kufanya barabara ikreki?
Utafananisha na digital world ya kisasa ambayo mpaka excavators zenye minyororo zinapita kwenye barabara ya lami?
Na ndio maana nimesema engineer anafanya kazi kulingana na hela uliyo offer, hiyo ikimaanisha kuna grade za ubora ambazo kadri ubora unapokuwa wakiwango cha juu basi na gharama yake inakuwa ghali mnoMkuu, kama ma elfu ya miaka iliyopita walibuni barabara zilizodumu mpaka sasa licha ya kwamba unadai sababu ya kudumu ni kutumika na punda ambao sio wazito
swali langu ni je kwanini nyie ma engineer mnashindwa kutengeneza barabara ambayo itahimili uzito wa juu wakati you have everything at your disposal from materials to knowlodge itself ? kwanini mnashindwa wakati ninyi ni bora zaidi ?
Fundi mchudoMambo ya fundi Juma hayo na fundi Maiko ...😅.
Kwahiyo wewe inji unachoangalia ni hela tuu..?Na ndio maana nimesema engineer anafanya kazi kulingana na hela uliyo offer, hiyo ikimaanisha kuna grade za ubora ambazo kadri ubora unapokuwa wakiwango cha juu basi na gharama yake inakuwa ghali mno
Halafu anakuja na huo ujinga unaitwa elimu- nani hana elimu- yaani anaona kusoma na kuandika ndiyo elimu?Mkuu, kama ma elfu ya miaka iliyopita walibuni barabara zilizodumu mpaka sasa licha ya kwamba unadai sababu ya kudumu ni kutumika na punda ambao sio wazito
swali langu ni je kwanini nyie ma engineer mnashindwa kutengeneza barabara ambayo itahimili uzito wa juu wakati you have everything at your disposal from materials to knowlodge itself ? kwanini mnashindwa wakati ninyi ni bora zaidi ?
Sasa nyumba zetu nazo ubora wake nao ni wa mashaka au nazo hampewi hela?Na ndio maana nimesema engineer anafanya kazi kulingana na hela uliyo offer, hiyo ikimaanisha kuna grade za ubora ambazo kadri ubora unapokuwa wakiwango cha juu basi na gharama yake inakuwa ghali mno
Sasa unataka umpe engineer billion 2 halaf ujengewe barabara ya billion 7???Kwahiyo wewe inji unachoangalia ni hela tuu..?
Kuna kipindi unaleta ubishi kama wa Yanga na Simba. Mbali ya bajeti, barabara nyingi na hata Majengo yanaharibika kutokana na kutengenezewa chini ya kiwango huku bajeti ikiwa ya kutisha. Mkandarasi na Mainjinia wa serikali wanaotoa vyeti vya ubora wanakula njama na kupitisha barabara zisizomudu hata ule uzito uliopitishwa na Msanifu.Na ndio maana nimesema engineer anafanya kazi kulingana na hela uliyo offer, hiyo ikimaanisha kuna grade za ubora ambazo kadri ubora unapokuwa wakiwango cha juu basi na gharama yake inakuwa ghali mno