Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,376
- 96,687
Na kwanini hatutengenezi barabara zenye viwango? Tutarudi kulekule.... Siasa. Sasa kama Mbunge wa darasa la saba anabishana na mhandisi mbobezi... na anamshinda kwa kupigiwa makofi mengi bungeni. Na bajeti inapitishwa... Sio siasa hiyo?Hizi barabara unazoziona sio za kiwango tukiamua tuzitumie kupitishia punda na wanajeshi waliovaa sendo na wananchi ambao wako peku, basi life span yake itakuwa ndefu zaidi
Ishu sio siasa, ishu ni kwamba tupo kwenye ulimwengu ambao una watu ambao wanapenda vya bei ndogo katika mazingira ambayo ni magumu kwa upatikanaji wa material.
Inawezekana kutengenezewa barabara nzuri yenye ubora utaodumu kwa kipindi kirefu zaidi lakini je bajeti hiyo mnaweza kuimudu?
Halafu unavyoliongelea hili ni kama unalenga africa na Tanzania kiujumla lakini hata huko kwa mabeberu zipo barabara za kirumi na bado barabara za mainjinia wa kisasa bado zina potholes je nao hao utasema wazungu wana siasa za kuweka watu ambao hawa fit kwenye idara husika?
View attachment 2131784
Au nifundishe siasa ni nini?