Wanayotwambia siyo sawa na tunayoyaonaKuna kipindi unaleta ubishi kama wa Yanga na Simba. Mbali ya bajeti, barabara nyingi na hata Majengo yanaharibika kutokana na kutengenezewa chini ya kiwango huku bajeti ikiwa ya kutisha. Mkandarasi na Mainjinia wa serikali wanaotoa vyeti vya ubora wanakula njama na kupitisha barabara zisizomudu hata ule uzito uliopitishwa na Msanifu.
Yaani wanajenga hawajui nani anakuja kupita hapo- halafu wanasema wana elimu?uzito wa mizigo (magari mkubwa) huchangia barabara kuharibika mapema.., miaka hiyo ya zamani farasi, punda, na ngamia ndio walikuwa wabebaji wa mizigo so barabara lazima zidumu kwa muda mrefu.
Unaongelea barabara zipi?Mkuu, kama ma elfu ya miaka iliyopita walibuni barabara zilizodumu mpaka sasa licha ya kwamba unadai sababu ya kudumu ni kutumika na punda ambao sio wazito
swali langu ni je kwanini nyie ma engineer mnashindwa kutengeneza barabara ambayo itahimili uzito wa juu wakati you have everything at your disposal from materials to knowlodge itself ? kwanini mnashindwa wakati ninyi ni bora zaidi ?
Michepuko ilikuwepo lakini ilikua bureHakukua na rushwa wala michepuko
Lakini hata hivyo hizo barabara za ngamia na farasi bado zinatumika siku hizi na magari mazito na ziko imara bado.uzito wa mizigo (magari mkubwa) huchangia barabara kuharibika mapema.., miaka hiyo ya zamani farasi, punda, na ngamia ndio walikuwa wabebaji wa mizigo so barabara lazima zidumu kwa muda mrefu.
Kwenye ulimwengu ambao watu wanataka vya bei ndogo tena kwa muda mfupi, unaona ni busara kumlaumu engineer?Kwahiyo wewe inji unachoangalia ni hela tuu..?
Kasie, Bora Fundi Juma Asee.Mambo ya fundi Juma hayo na fundi Maiko ...😅.
Sikatai kuwa mbishi nitakuwa mnafki kwa hilo, ila atleast nabisha kwa hojaKuna kipindi unaleta ubishi kama wa Yanga na Simba. Mbali ya bajeti, barabara nyingi na hata Majengo yanaharibika kutokana na kutengenezewa chini ya kiwango huku bajeti ikiwa ya kutisha. Mkandarasi na Mainjinia wa serikali wanaotoa vyeti vya ubora wanakula njama na kupitisha barabara zisizomudu hata ule uzito uliopitishwa na Msanifu.
mbona mpaka sasa hivi hao punda hawapo yanapita magari na still road iko toughMsipende kuitukana elimu, engineer anatengeneza barabara kulingana na pesa ambayo ipo
Pia kipindi zinatengenezwa hizo barabara ndio kile kipindi ambacho usafiri uliokuwa unatamba ulikuwa ni punda
Punda anauzito gani wa kufanya barabara ikreki?
Utafananisha na digital world ya kisasa ambayo mpaka excavators zenye minyororo zinapita kwenye barabara ya lami?
Nitajie hiyo barabara iliyojengwa na wakoloni na ina handle heavy trucksmbona mpaka sasa hivi hao punda hawapo yanapita magari na still road iko tough
Kila mtu apange kwake mwishowe tutaungana.Utaweza panga mawe hayo kutoka mtwara mpaka mwanza?
Mfano nimekuta lami iliwekwa soko la majani mapana tanga, ile lami nimeanza kuiona miaka ya 80 still bado ipombona mpaka sasa hivi hao punda hawapo yanapita magari na still road iko tough
Ni Barabara ngapi za mkoloni bado ziko hai mpaka Leo hii?Msipende kuitukana elimu, engineer anatengeneza barabara kulingana na pesa ambayo ipo
Pia kipindi zinatengenezwa hizo barabara ndio kile kipindi ambacho usafiri uliokuwa unatamba ulikuwa ni punda
Punda anauzito gani wa kufanya barabara ikreki?
Utafananisha na digital world ya kisasa ambayo mpaka excavators zenye minyororo zinapita kwenye barabara ya lami?
Zinatumikaje?Ni Barabara ngapi za mkoloni bado ziko hai mpaka Leo hii?
Kama punda hawakuharibu barabara za enxi hizo ni kitu gani kituaminishe kwanini tujitetee wa enzi hizi kwakuwa excavator zinaharibu barabara zetu. Wao hawakuenda vyuo kujua punda asiweze kuharibu barabara... sisi tumeenda shule nini kimetufanya tushindwe kujua hii barabara iko siku itapita excavator kwahiyo tutumie digrii zetu kuhakikisha barabara hazitaharibika?Msipende kuitukana elimu, engineer anatengeneza barabara kulingana na pesa ambayo ipo
Pia kipindi zinatengenezwa hizo barabara ndio kile kipindi ambacho usafiri uliokuwa unatamba ulikuwa ni punda
Punda anauzito gani wa kufanya barabara ikreki?
Utafananisha na digital world ya kisasa ambayo mpaka excavators zenye minyororo zinapita kwenye barabara ya lami?
Hizi barabara unazoziona sio za kiwango tukiamua tuzitumie kupitishia punda na wanajeshi waliovaa sendo na wananchi ambao wako peku, basi life span yake itakuwa ndefu zaidiKama punda hawakuharibu barabara za enxi hizo ni kitu gani kituaminishe kwanini tujitetee wa enzi hizi kwakuwa excavator zinaharibu barabara zetu. Wao hawakuenda vyuo kujua punda asiweze kuharibu barabara... sisi tumeenda shule nini kimetufanya tushindwe kujua hii barabara iko siku itapita excavator kwahiyo tutumie digrii zetu kuhakikisha barabara hazitaharibika?
Jibu najua unalo. Zamani hakukuwa na Siasa kazini. Ila hivi sasa Hussein Mwinyi ambaye hakuwahi kwenda JKT anakuwa waziri wa Ulinzi, na baadae Rais wa Zenji.... Ummy Mwalimu ni waziri wa afya lakini hajui ABC za Panadol
Dr. Mwele (RIP) akitoa angalizo mwanasiasa aliesomea korosho zinapataje mimba anamtimua kazi
Pathetic