Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,933
- 131,719
Sio sielewi, nilipokuona umeanza majigambo na kebehi za kuwaona wengine hawaijui physics nikakuuliza "inteference" ni kitu gani ulichokiandika kwasababu nililenga kukosoa spelling zilizo missPhysics sio history ndug yang..
Ukishaambiwa interference umetolewa na mifano ya kutosha lakini
umeng'ng'na na uzito hujui hata shock absober nini.
Preminary physics hiyo.
Shockup nisizijue kweli?