Mchina wa Botswana - Lazima ucheke

Mmecheka sana au kidogo?

Nimeona niwaletee nyingine. Si kali sana ila nayenyewe ni kali kidogo...

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=_RgL2MKfWTo[/ame]
 
Wapenzi wa Vichekesho,

Leo namalizia mwisho wa hiki kituko cha Mchina.

Napenda kusema kuwa kwa makusudi kabisa sikuandika habari nzima ili ilete UTAMU kwa wasikilizaji. Nawapa pole na samahani wote mlioamini kuwa huyu ni MCHINA.

Ukweli ni kuwa huyu ni ACTOR aliyepiga simu na kujifanya MCHINA. Huyu Muigizaji yuko nchini Botswana na ni MSWANA PURE aliyejifanya tu ni MCHINA. Nafikiri inabidi kumpa hongera kwa hili.
 
I had the same thought especialy when he said Hallo..doesnt tone like chines...
 
Wachina wanasema hallo? Or how does it sound?

Pia ukisikia mwanzo kabisa, alisema maneno ya Kiingereza ila wakati anamalizia alikuwa aki-Click, kama wanavyo click Wazulu na kwa Tanzania tuna Wasandawi ambao huwa hutoa sauti kama ya kusikitika.....
 
Naona Mchina aliagiza hawa jamaa waje White Sand Hotel, Dar es salaam na jamaa kutoka Botswana wakaja na kufanya vitu vyao.

white%2Bsands.jpg

Picha kutoka kwa Michuzi.
 
mchina huyu noma!!!
and this is phone no, seven fowa sero sero fwan fwan
 
chinese-eye-test.jpg

Umeona hayo maajabu?

Je umeweza kusoma? Kama umeshindwa, usishangae. Hii ni kwa sababu wewe si Mchina.

Ili uweze kusoma:
"weke kidole/vidole pembeni mwa macho yako na uyavute kwa nje kuelekea upande yaliko masikio hadi uwe na macho ya Kichina. Hapo utaweza kusoma kilichoandikwa".

Nyingine ni kufanya kama unafumba macho. Hii pia unajifananisha na Mchina.

NB: Macho ya Wapwa yakoje?
 
Ebwana we ni noma. Nahisi lazima mmoja kati ya wazazi wako lazima alikuwa na elements za KICHINA. Big up sana mzee. We ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
chinese-eye-test.jpg

Umeona hayo maajabu?

Je umeweza kusoma? Kama umeshindwa, usishangae. Hii ni kwa sababu wewe si Mchina.

Ili uweze kusoma:
"weke kidole/vidole pembeni mwa macho yako na uyavute kwa nje kuelekea upande yaliko masikio hadi uwe na macho ya Kichina. Hapo utaweza kusoma kilichoandikwa".

Nyingine ni kufanya kama unafumba macho. Hii pia unajifananisha na Mchina.

NB: Macho ya Wapwa yakoje?

Duh! nnimecheka mpaka basi .No sex causes bad eyes!
 
Unajua Maria
nikwamba NO SEX CAUSES BAD EYES ni negative tense, sasa ili upate maana halisi unaitranslate katika positivity yake then inakuwa EYES CAUSES BAD SEX
Umenisoma mamii..... We acha tu jamaa nijiaz
 
Haha haha hapo nimekusoma duh jamaa kiboko
 
Unajua Maria
nikwamba NO SEX CAUSES BAD EYES ni negative tense, sasa ili upate maana halisi unaitranslate katika positivity yake then inakuwa EYES CAUSES BAD SEX
Umenisoma mamii..... We acha tu jamaa nijiaz

Hii nilitegemea Nguli na kundi lake la Wapwa watakuja hapa na kutuelezea vizuri. Nguli yeye tayari anavaa miwani sasa sijui ilisababishwa na nini?

Yo Yo, uko wapi siku hizi? Au wewe pia macho yameharibika? We miss mdudu kwenye screen.
 
Back
Top Bottom