Mchina wa Botswana - Lazima ucheke

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,060
Kuna hii Audio ya Mchina wa Botswana anayepiga simu kuita jamaa wanaouwa MENDE. Warning: Unaweza kuvunja MBAVU au kufanya fuji kazini kama hujawahi ISIKIA. Hivyo, kabla hujasikiliza, tafadhali angalia uko wapi.

Last edited by a moderator:
ahahahahahahahah! ahahahahahahahaha ! ahahahahahahaha!

IPO WAPI? Tayari nilishaanza kucheka

Mkuu, nawasubiri Mods wanielekeze jinsi ya kuiweka..... Nikifanikiwa sasa hivi itakuwa ONLINE.....
 
Wakuu, nawasiliana na Invisible ili aiweke. Kwa sasa itabidi mtumie hiyo link kwenye Eastafriantube ili kusikiliza......
 
Mkuu Sikonge hiyo bana mi nishaisikia kiukweli huyo mchina kaniacha hoi.... Huyo mende sijui atakua ni mkubwa kiasi gani wa kumsumbua huyo jamaa kiasi hiko
 
duh! yaani hii balaaa!!!! hwan hwan(one one) teh teh teh!
 
Mkuu Sikonge hiyo bana mi nishaisikia kiukweli huyo mchina kaniacha hoi.... Huyo mende sijui atakua ni mkubwa kiasi gani wa kumsumbua huyo jamaa kiasi hiko

AmaniGK,
Mr. Chin Lin Hua ni mwisho wa matatizo. Nilikuwa nikisikiliza hadi machozi yanatoka. Ananiuwa zaidi anaposema nhwa-nhwa maana hili neno kwa Kinyamwezi ni Kunguru na mie utotoni nilishawahi kuangaliwa na kunguru acha nikimbie na kilio juu, kisa "Nhwanhwa" kaniangalia. Ngoja Invisible aweke ili watu wafaidi. Nasema pole kwa wasiofahamu Kiingereza maana hii huwezi kuitafasiri............ very big, big like headA, eat food for de people. We need Strong Chemical,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Kuna hii Audio ya Mchina wa Botswana anayepiga simu kuita jamaa wanaouwa MENDE. Warning: Unaweza kuvunja MBAVU au kufanya fuji kazini kama hujawahi ISIKIA. Hivyo, kabla hujasikiliza, tafadhali angalia uko wapi.

Mods, nikikwama, naomba mnisaidie kuiweka hii AUDIO.
Huyo Mchina kazaliwa Bongo nini, mbona wenzake wanatesa tu na hao kokorochi....

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Kr8Wak8slR8[/ame]

http://www.eastafricantube.com/files/102f2a3a810ade38.wma
 
Haya kwa wale wote wengine, AUDIO nimeshaiweka. Kazi kwenu sasa.......
 
At last nimeisikia pale juu alipoweka invisible, ile link mazee ina mambo! Mchina na Mende balaa na lugha heri ya Kanumba!
 
At last nimeisikia pale juu alipoweka invisible, ile link mazee ina mambo! Mchina na Mende balaa na lugha heri ya Kanumba!

Kanumba Mbona yupo fiti Tu! Cheki Hii Video!

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Iasicyrx5no"]http://www.youtube.com/watch?v=Iasicyrx5no[/ame]
 
At last nimeisikia pale juu alipoweka invisible, ile link mazee ina mambo! Mchina na Mende balaa na lugha heri ya Kanumba!

Hapa kwa kweli inabidi kusema wazi kuwa Kanumba anajitahidi maana huyu jamaa maneno anayabadili na mbishi kama Dagaa. Anaulizwa namba ya simu yeye anajibu "you are talking to mr. Chin ......".

Yule mwanaume wa mwisho naye naona ni mpenzi wa Hip hop maana anaambiwa hao mende ni "Big and strong", yeye anasema " Ye yee, Big and Small". Atakuwa mpenzi wa Notorius BIG.
 
..ama kweli, walimtenda nini hao big cockroaches like this?

Hao big cochroaches, big like head'A walikuwa wanakula "food for the people" na tatizo ni kuwa hao mende wako BIG and STRONG....... Other Mutswana tried to kill them with normal spray'a but cochroach NO DIE!!!

NB: Jamani mkifurahi, mkumbuke kuichangia JF. Mkono mtupu....
 
Yaani nimecheka mpaka basi, nikakumbuka jana darasani tulikuwa na simulation game inayohusu Just - in - Time techninique, tuligawanywa kwenye makundi matatu halafu kwenye kila kundi Prof. akachagua randomly group manager, kwenye group letu akachaguliwa mchina, yaani kilichotokea kwenye planning discussion hakuna tofauti na huyo mchina wa botswana Ha! Ha! Ha! Ha!
 
duuh hii kali huyu mchina asije kumpiga risasi huyu mende manake anavyong'ang'ania kwamba ni mkubwa simchezo lol.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom