MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Hili Dongo limetupwa gizani...Nawaza tuu, mchina anapata B ya kiswahili anasikitika lakini sisi PhD holder anashindwa kuzungumza kiingereza fasaha alichokitumia kusomea kwa miaka kadhaa mpaka kuhitimu na tunaona kawaida tuu
Toa jina kamili,mwaka uliohitimu masomo mf form 4,6 or chuo then tukwambie ni nama gan kwako pia hyo bell curve ilikuwa...kumbuka kuna weng wana ndgu,watoto na hata wazaz wamefanya hyo paper so umetukana raia kwa kias flan.....toa ahzo details tuone km kwako bell curve was escaped😀Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!
Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!
Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne TanZania nzima inasema nini?
Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili, najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!
Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kilam jitihada anazofanya badal ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!
Nitatoa mfano Raisi amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Raisi kwamba amekosea, wkt Raisi ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
Toa jina kamili,mwaka uliohitimu masomo mf form 4,6 or chuo then tukwambie ni nama gan kwako pia hyo bell curve ilikuwa...kumbuka kuna weng wana ndgu,watoto na hata wazaz wamefanya hyo paper so umetukana raia kwa kias flan.....toa ahzo details tuone km kwako bell curve was escaped😀
sasa jaman kilasiku mlikuwa mnatusakama wasukuma mmeona sasa TO ni msukuma anaitwa BUTOGWA CHARLES SHIJA wachaga mpoooo
Kwa kiasi fulani naungana nawe mtoa hoja hasa kwenye suala la hizo tafiti na mengineyo mengi ila nina mambo mawili nataka kuyaweka sawa:Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!
Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!
Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne TanZania nzima inasema nini?
Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili, najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!
Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kilam jitihada anazofanya badal ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!
Nitatoa mfano Raisi amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Raisi kwamba amekosea, wkt Raisi ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
Wengine hawapendi kutangaza mambo yao yanaishia huko walipo. Lakini wapo naweza thibitisha.
Una IQ ndogo ndio maana hujaelewa..... Teh, teh, teh,Sijaelewa hapo kiini cha thread yako ni ipi! Ni IQ au Sukari au Mchina kuongoza kiswahili!? Au ni tangazo la Magufuli kustopisha sukari kutoka nje!?
Kwenye semina ya THE AKILI KUBWA atakwepo..Nenda kachukue namba
Kwa kiasi fulani naungana nawe mtoa hoja hasa kwenye suala la hizo tafiti na mengineyo mengi ila nina mambo mawili nataka kuyaweka sawa:
a) kuna uhuru wa kuwa na mawazo tofauti na hii ni haki kwa kila binadamu ilimradi havunji sheria. hata hayo mataifa makubwa viongozi na raia wake hawakubaliani kwa kila jambo, tofauti ya mawazo na fikra ndio vinatufanya tuwe na maendeleo. Kwa mfano si wamarekani wote waliofurahishwa na uamuzi wa serekali yao kupeleka majeshi vitani Iraq au Afghanistan.
b) Ufaulu wa somo la kiswahili hauwezi kuwa kipimo cha IQ ya mtu haza ukiiegemeza hoja yako kuwa kwa mchina ni lugha ya kigeni. Kiswahili kinachofundishwa shuleni na kutahini wanafunzi si sawa na kiswahili tuzungumzacho. Mtihani unatungwa kwa kuzingatia mitaala husika ambayo inalenga kumfanya mwanafunzi kuwa mahiri wa lugha hiyo hivyo nategemea hata mtanzania akienda kusoma Ulaya Kufaulu somo la Kiingereza kwa alama A au B si kitu cha kustaajabisha.
Mwisho natambua matokeo mazuri ya huyu mtanzania mwenzetu wa asili ya uchina na nampongeza kwa dhati ya moyo wangu ila masuala ya taaluma si mambo ya ushabiki, tuwapongeze basi na hawa vijana wetu waliofanya vizuri zaidi. Kipimo sahihi cha uwezo wetu kitakuwa sawa pale ambapo wanafunzi wote wa tanzania watasoma na kufundishwa katika mazingira yaliyo na uwiano sawa kitaaluma.
Ahahahahahaha.....umeuaHata Mimi nilipata F 9 Na D moja ya kiingereza
Ka Upendo aka Butogwasasa jaman kilasiku mlikuwa mnatusakama wasukuma mmeona sasa TO ni msukuma anaitwa BUTOGWA CHARLES SHIJA wachaga mpooooo