macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,221
- 60,275
Mkuu una point japo watanzania wengi huwa sio wadadisi na wanaojiuliza mambo. Ni uvivu kwa kwenda mbele anacholetewa ndio hicho hicho. Udadisi ulio uonyesha kwenda maswali yako ni mzuri. Mimi mfumo wa mtahani wetu unatoa nafasi kwa wanaokariri kushinda. Lakini ni muhimu sana ukajua kwamba hizo shule nyingi unazoona zinapazisha kwa kiwango cha juu (hasa binafsi) pamoja na kufundisha vizuri lakini huwa ni wajanja wa ''kuonyesha'' wanafunzi mitihani ili shule zao zikubalike. Hili nalo ni jipu linalohitaji umakini wa hali ya juu sana kulitumbua kwani linafanyika kwa uficho sana.Nimemsikiliza yule Mwanafunzi mchina , wakati anahojiwa, lakini kiswahili anacho ongea si kiswahili sahihi sana japo anajitahidi sana na ninapenda kumpongeza kwa kuiweka Tanzania ktk Ramani ya Dunia.
Mfano nimesikia akisema " watoto mengi", "nilitumia masaa nyingi" napata wasiwasi sana kwenye mfumo wetu wa Elimu na kujiuliza maswali yasiyo na majibu pengine.
1. Inawezekana mitihani ya sasa ivi ni kama ya kuchagua huhitaji kujua kila kitu. Au ni udhaifu wa mitihani yetu kwa kuwa haina mtihani wa kuongea japo sidhani kama ni muhimu sana kuwa na mtihani wa "oral"
2. Inawezekana wasahihishaji waliamua kupotezea baadhi ya makosa ambayo hayana athari kwenye tafsiri iliyokusudiwa na mwandishi.
3. Watoto wa sasa ivi wavivu kusoma hadi kupelekea asiye kiwezea vizuri kiswahili akifanya bidii anakuwa bora kuliko wale wanao kijua vizuri.
Funzo kwa watz
Kumbe hata yale ambayo tunadhani hatuna maarifa ya kutosha tukiweka bidii tunaweza kushangaza Dunia.
Sina maana amependelewa. Naheshimu bidii yake na natambua kuwa ni mwanafunzi mwenye akili sana.
Wakati tunaingia chuoni..kuna mzungu alifeli screening test ya English wakati sisi wengine tulipeta..sasa sioni haja ya kushangaa...Nimemsikiliza yule Mwanafunzi mchina , wakati anahojiwa, lakini kiswahili anacho ongea si kiswahili sahihi sana japo anajitahidi sana na ninapenda kumpongeza kwa kuiweka Tanzania ktk Ramani ya Dunia.
Mfano nimesikia akisema " watoto mengi", "nilitumia masaa nyingi" napata wasiwasi sana kwenye mfumo wetu wa Elimu na kujiuliza maswali yasiyo na majibu pengine.
1. Inawezekana mitihani ya sasa ivi ni kama ya kuchagua huhitaji kujua kila kitu. Au ni udhaifu wa mitihani yetu kwa kuwa haina mtihani wa kuongea japo sidhani kama ni muhimu sana kuwa na mtihani wa "oral"
2. Inawezekana wasahihishaji waliamua kupotezea baadhi ya makosa ambayo hayana athari kwenye tafsiri iliyokusudiwa na mwandishi.
3. Watoto wa sasa ivi wavivu kusoma hadi kupelekea asiye kiwezea vizuri kiswahili akifanya bidii anakuwa bora kuliko wale wanao kijua vizuri.
Funzo kwa watz
Kumbe hata yale ambayo tunadhani hatuna maarifa ya kutosha tukiweka bidii tunaweza kushangaza Dunia.
Sina maana amependelewa. Naheshimu bidii yake na natambua kuwa ni mwanafunzi mwenye akili sana.
Seriously?? Vp kihusu wanaijeria, wanajua kingereza lakini unaonaje matamshi yao?Samahan wakuu...unawezaje ukaandika halafu ukashindwa kuongea??
Hili lipo sana hasa baada ya shule za binafsi kuingia kwenye ushindani wa kuvutia wanafunzi ili kuwa na pato kubwa na zuri.Tuhuma za fedha kutumika kuhonga wasimamizi na walinzi wakati wa mitihani, hasa kwenye shule binafsi, awamu hii ya utumbuaji majipu izifanyie kazi.
Mbona wabongo wanafumua A za kingereza, kifaransa na kiarabi hamshangaiDah....kweli watu tunatofautiana mimi kitambo hicho D ya Kiswahili nafurahi kukimbia penalti kulinda kijiti changu cha 11 mchina kaweka B Duh..Hongera zake Binti wa Kichina
Samahan wakuu...unawezaje ukaandika halafu ukashindwa kuongea??
Wananunua examsspoken na written language vitu viwili tofauti. Pamoja na hili ufaulu mkubwa baadhi ya shule za "wakubwa" inachangiwa na uvujaji wa mitihani. Fedha inabomoa mlima.
Mbona wabongo wanafumua A za kingereza, kifaransa na kiarabi hamshangai
Hilo swali waulize watu wote waliosoma combination za sayansi kama PCB,pcm hawa Kiukweli kwa kushuka tu ni hatare lakin mwambie aongee english ni mitihani,fanya utafiti utajuaSamahan wakuu...unawezaje ukaandika halafu ukashindwa kuongea??
Mkuu kiswahili cha kuandika huumizi kichwa ni kama kujua hisabati, sarufi, kivumishi, nomino na mzizi mkuu wa neno baaaas biashara imeisha. Wapo wazungu wanafeligi somo la english je wajua hlo pia wapo wabongo ndo mamasta katika kunfuu. Ukibisha muulize MkoroshokigoliSamahan wakuu...unawezaje ukaandika halafu ukashindwa kuongea??
hatuzungumzii lafudhi , tunazungumzia usahihi. nigeria wanaongea kingereza sahihi sema wana tatizo la lafudhiSeriously?? Vp kihusu wanaijeria, wanajua kingereza lakini unaonaje matamshi yao?
Hii kitu naisi hâta FEDHA xuls inahusika,kwa anayejua jaman,atupe taarifa hapaTuhuma za fedha kutumika kuhonga wasimamizi na walinzi wakati wa mitihani, hasa kwenye shule binafsi, awamu hii ya utumbuaji majipu izifanyie kazi.
Then hapa kazini tunafanya kazi na mkorea alikuja hajui kiswahili but alikuja na dictionary mbili moja ya ya kikorea to Swahili...so kila neno jipya analinukuu na tafsiri yake..sasa hv Amelia mswahili typically....sasa tujiulize ni wabongo wangap wakiendaga nchi za wenzetu wanaendaga na dictionary zao...ni juhudi binafsi zinazowafanya wafaulu ana kupenda kujifunzaWakati tunaingia chuoni..kuna mzungu alifeli screening test ya English wakati sisi wengine tulipeta..sasa sioni haja ya kushangaa...
isijekuwa mzungu kutoka urenoWakati tunaingia chuoni..kuna mzungu alifeli screening test ya English wakati sisi wengine tulipeta..sasa sioni haja ya kushangaa...