Mchezo wa kurushiana Risasi utahitaji Bullet Proof vest au kujificha huku unashambulia; Kwako Tundu Lisu baada ya kutoka usifanye kama Kina Mdude Chad

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,054
Reaction score
79,396
Hamjambo Wote!

Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea.
Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati.

Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama kina Yule wa Kigoma Mjini wasichukulie mambo kirahisi na kimzaha mzaha. Siasa haina mzaha hasa Black Politics. Hii ni kusema Wanapaswa kubadilisha formation, mbinu na mikakati ili kubaki salama na kufikia ndoto zao.

Unajua kwa nini? Kwa sababu kwenye Black Politics nyakati hizi huwa hatari sana. Ni wakati ambao unatakiwa kuchangamana na watu ili upate kura alafu wakati huohuo unatakiwa ku- keep your circle very tight.

Kwenye Black Politics kuna kanuni za kishenzi na kikatili zinazotumika ambazo hata ukimshinda mtu kwenye Kura bado hujamshinda kwenye Politics. Hivyo kuhujumiana, kutemeshana, kulambishana mchanga ni vitu tarajiwa kabisa.

Unapokuwa kwenye Vita vya kurushiana Risasi. Lazima uwe umevaa Bullet Proof vest kama utajitokeza waziwazi na kufanya mashambulizi makubwa ana kwa ana na adui.
Sharti la kujitokeza waziwazi ukiwa umevaa bullet Proof vest lazima adui yako naye amejitokeza na mpo ana kwa ana, au umemwona ameishiwa risasi hivyo unamuwahi upesi kabla hajapata mbinu ya kukimbia au kujaza risasi zingine kwenye bastola au bunduki yake

Nitakupa Mfano, Tukio la Hamza pale Daraja la Salenda karibu na ubalozi wa Ufaransa linaweza kuwa kielelezo kizuri.
Alichokifanya Hamza ni shambulizi la kujitoa Mhanga. Ndicho alichokifanya Mdude Chadema na wengineo waliojikuta kwenye kuangamia.

Mbinu hiyo inatumika zaidi kwa Watu waliojitoa Mhanga, waliochoka Kuishi, watu ambao wana hasira zilizopitiliza zilizopofusha uwezo wa akili,

Kama unapenda kuendelea kuishi mbinu hii sio rafiki Sana na haipendekezwi.

Tundu Lisu naye aliwahi kutumia Mbinu hii na huenda ni mbinu anayoipenda sana lakini sio Mbinu sahihi Kivita ikiwa anamalengo ya muda mrefu kwake binafsi.

Huwezi kuingia katika mchezo wa kurushiana risasi hauna bullet proof vest wakati wenzako wanazo au haujifichi wakati wenzako licha ya kuwa na Risasi bado wanajificha.

Sio ajabu Kina Polepole na wenzake, wanatuma makombora wakiwa kwenye mahandaki wamejificha. Sio uoga hiyo ni mbinu ya Kivita inayotumika na kutumiwa na watu wote wanaojua Kanuni za vita.

Kukosa Mara moja haimaanishi huwezi kukoswa mara ya pili.
Majaribio ya kuuawa yanapaswa kuchukuliwa serious sana. Kuanzia kwa mtu binafsi kisha na washirika wake....

Wenzako wanatumia bastola wewe unatumia mdomo. Hutaki kujificha na kutumia mbinu za kivita. Kweli?

Kasome Pambano la Daudi Vs Mfalme Sauli utajifunza mambo mengi sana pale.
Kasome Musa Vs Farao

Kasome Nabii Ibrahim Vs Mfalme Nimrod.

Kutumia medani za kivita sio Uoga bali ni sehemu ya kutafuta ushindi na kufikia Malengo. Usisapuzwe, usisakiziwe, usikubali kutolewa kama chambo na watu wasiojali maisha yako na familia yako wakati wao wamejificha.

Bora wajifiche alafu wakufanyie Cover up lakini wao wana kupeleka mbele alafu wanakutazama tuu ukisasambuliwa. Badala waku-cover na adui ili wewe uendelee kusonga na kuwasafishia njia wanapokuwa wakija. Wao wana kutazama na kuja hawaji. Unajikuta uko mbele sana pekeako. Kwisha!

Acha nipumzike sasa!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Yesu Kristo alisema’ Wataendaje Wasipopelekwa?’

Sidhani hata kama utaelewa 😄
 
Kwa hawa viewers, hakuna namna ilikuwa lazima wamfungie Lissu ndani kwanza.
 
Attachments

  • Screen_Recording_20250831_113440_YouTube.mp4
    39.1 MB
Lissu mpimbavu sana.
Screenshot_20250831-131509.jpg
 
Lakini Mzee Ali Kibao hakujitoa muanga na alikuwa anahitaji uhai wake. Acha kuuzia watu hofu na woga.
 
Sasa wewe umejificha unataka wenzako wasiwe waoga? Mimi ninachoshauri ni usalama wa hao unaotaka wasiwe waoga na sio usalama wako wewe uliyejificha
 
Back
Top Bottom