naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,435
Checkers yapo mengi jamanii, hilo mnalozungumzia nyinyi ni lipi?
Naomba link kama inawezekana
Download hiyo niliyo ichora hapo ipo play store afu uchague Russian checkers, mwanzoni utafunga kisport sport lakini level zitazidi kupanda na ndo game itazidi kuwa ngumu zaidi, ukikaza inakuja heavy zaidi.
Karibu.
