Mchezo wa draft

Habari zenu wana jf wote

Hv unapokuwa unacheza mchezo wa draft inafaa kuzingatia vitu gani ili uweze kuziteka vizuri kete za mwenzako
Hakikisha hupotezi kete yoyote bure...yaani kama kula Kate angalau kwa kila kete upate faida..japo sio kila kete utakayokula italeta faida..wakati mwingine ni kuujenga mashambulizi..ili kushinda lazima uwe na kete nyingi kumshinda mpinzani
 
ni mchezo mzuri sana na ninaupenda sana kuweza kuwa na kiwango cha kati unahitaji practice zaidi nikiwa na maana anza kucheza na wale unaolingana nao kiwango ambapo itakuchukua hata mwaka kuimprove baada ya hapo tafuta kijiwe kingine wanaokuzidi uwezo upambane nao nadhani itasaidia sana kujua zaidi.
Nb. kumbuka huu mchezo unahitaji kufanya mazoezi zaidi ya kuucheza kuliko kuelekezwa kinadharia
 
Kwenye lile game la kwenye PC wale wasichana wengine unawafunguaje ili ucheze nao mbna wanakubali kucheza wawili wa mwanzo
 
Mchezo huu una mbinu nyingi, na huwezi kufundishwa darasani. Wakati mwengine unatakiwa umfikirie mwenzako atacheza kete gani, ili akichezavummalize. Kipindi nilipokua form 5 - 6 nilikua niko nondo, na nilikua jioni evsry day nikapige rogermanchester na trantor, niliuita majina ya vitabu ivo

Nchi nyingi wanacheza draft la kwenda mbele na nyuma, lakini kwa Tanzania yapo ya aina mbili, kuna hilo la mbele na nyuma na kuna la mbele tu

We ni mtaalamu wa lipi?
 
Juz kati nilikipimia kijiwe flan hivi nikajua wanyonge
Asee nilipigwa kibla mara mbili
Baadaye nikajitahid ndio nikapigwa moja la kawaida.
Baada ya mwaka mpya ntarud kujiuliza
 
Back
Top Bottom