sandu John
Senior Member
- Jun 24, 2016
- 180
- 104
Uwe na akili iliyo hamia hapo tu , ukiwa unawaza mengine .huwezi shinda..
embu check hii hapa....Habari zenu wana jf wote
Hv unapokuwa unacheza mchezo wa draft inafaa kuzingatia vitu gani ili uweze kuziteka vizuri kete za mwenzako
Linaitwaje mkuu?Ninalo kwenye simu na kwenye PC mkuu
Acha wewe mimi ni mtaalamuAnayehitaji mechi namm namkaribisha yeye aweke jiwe mie naweka 10,000 akinifunga yake
Kwenye Cm linaitwa CHECKERS na kwa PC limeandikwa draft nili - install kutoka kwenye cd moja ya programmesLinaitwaje mkuu?
karibuAcha wewe mimi ni mtaalamu
Kwenye Cm linaitwa CHECKERS na kwa PC limeandikwa draft nili - install kutoka kwenye cd moja ya programmes
Mkuu kuna MTU anaitwa Bedui kutoka Temeke alikuwa nuksi sana. Kagaragaza sana Keko, Temeke n.k, unamjua?Nakwambia juma mchafu namjua ni kweli anajua sana draft ila mangwelele habari nyengine
Kuna dogo mtaani kwetu anamkalisha mchafu bila wasiwasi, tatizo la mchafu anacheza draft kazi draft la bure hachezi au akicheza anajilegeza utamfunga anakwambia twende kitu kitu ukiweka hela umekwisha
Huyo jamaa wa keko yeye anakupa michezo mitatu anasema anakufunga goli mbili yani asipokufunga mbili umekula hela ni noma sana jamaa ila jina lake silikumbuki
Hiyo michezo ya kipande usijaribu kucheza wenzio washaifanyia mazoezi bora mcheze la kawaida tu
Aisee huyu wa pili game ya kwanza namfunga vizuri lkn ya pili ni mtiti hakamatiki kirahisiHuyu mbna anafungika tu brooo
Wale madada wengine mbona hawafunguki, wanafunguka wawili wa mwanzo, wengine wanafungukajeAisee huyu wa pili game ya kwanza namfunga vizuri lkn ya pili ni mtiti hakamatiki kirahisi
Checkers yapo mengi jamanii, hilo mnalozungumzia nyinyi ni lipi?Aisee huyu wa pili game ya kwanza namfunga vizuri lkn ya pili ni mtiti hakamatiki kirahisi