Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
Nenda google "draft game for pc" utachagua linapicha ya mwanamke fulaniNaomba link yake mkuu
Pia kama ukikosa tembelea Oceanofgames.com
Nenda google "draft game for pc" utachagua linapicha ya mwanamke fulaniNaomba link yake mkuu
Poa mkuu akivua nguo unaona ngenya?Nenda google "draft game for pc" utachagua linapicha ya mwanamke fulani
Pia kama ukikosa tembelea Oceanofgames.com
BEDUI namjua vizuri ,saivi kawa mzee na anavuta sana sigara kiasi kwamba ukizungumza nae ni mimoshi tu unaisikia hata kama hajavuta toka asubuhi.Alikuwa mwalimu wangu huyo Kigogo ya PUGU huko.Juzi nilikuwa nae Chanika Kwa zoo siku mbili.Mkuu kuna MTU anaitwa Bedui kutoka Temeke alikuwa nuksi sana. Kagaragaza sana Keko, Temeke n.k, unamjua?
Ntapata wapi hili gemu..nililicheza sana zamani hizo..nimelikumbuka.Kwenye lile game la kwenye PC wale wasichana wengine unawafunguaje ili ucheze nao mbna wanakubali kucheza wawili wa mwanzo
MmNani ashamfunga dalmax?
Wapi huko? na mimi nije kuwa kanda wa kwanguNaombeni kopi mbili tu za ushindi, Nina mashindano hivi karibuni
Leta kopiWapi huko? na mimi nije kuwa kanda wa kwangu