Mchezo wa draft

Mchezo wa draft

drafti ni kujua copy tu. kuna namna saba za kuanza game na zote zina majina. ni namna mbili tu unaweza kushinda kama unacheza na mafundi. kuanza na kete ya kati wanaita oldfaithful na kuanza na kete ya kwenye kona wanaita double corner. namna zingine zote ukikutana na anayejua copy atakukimbiza sana. nilijifunza hizi copy na counter zake hata miezi sita siku hizi napiga drafti kila mtu anashangaa. zamani nilikuwa naendaenda bila copy nilikuwa napigwa sana japo ilinisaidia uzoefu ikitokea mtu ametoka nje ya copy. mchezo poa sana huu.
pamoja man mimi mwenyewe kwereee
 
British wengine hudai jepesi sana (laini).

Mimi huwa napendelea kucheza French,mpaka kunawakati nikicheza na mtu wa British najisahau kama nacheza British.

Watu wengi wa Pwani wanacheza British sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukicheza kete lazima umpangie mpinzani atakazocheza,i mean cheza kete zako za mpinzani wako.
 
Uwe na uwezo wa kuiteka akili ya mpinzani wako. uwe na uwezo wa kufikiria at least mpaka mchezo wa tatu mbele. Ukiwa na uwezo huo ninaweza kucheza na wewe lakini British. Added advantage uwe na maneno ya nyondo kufurahisha watazamaji na kumdhoofisha mpinzani wako mentally.
umekula chipsi zangu halafu unajifanya mwanafunzi.
 
unapeleka kete tatu za mstari mkuu (ikweta)...then unarudia mbili mkono wa kulia .....ukimaliza kabla hajaanza mashambulizi unaweza ukaanza wewe na kete mbele kati ya tatu za ikweta .....enjoy ....
Mkuu nadhani draft unalielewa vizuri naomba usiache kunipa maujuzi zaidi mimi draft niugonjwa wangu
 
Back
Top Bottom