Mchezo mchafu kumchagua DG mpya NHC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezo mchafu kumchagua DG mpya NHC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, May 15, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Wakati mnaendelea kubishana kwenye episodes za MENGI vs ROSTAM

  Nadhani mnajua jamaa wako kwenye process ya kumchagua DG mpya pale NHC lakini cha ajabu waziri husika na kigogo fulani wa IKULU wanatuhumiwa kuwa amekuwa instrumental katika kuvuruga process nzima ili jamaa wa nyumbani kwao apate na wamefika hatua ya kubadilisha hata matangazo ili kumuaccomodate candidate mmoja

  Ukistaajabu ya musa utashangaa ya firauni

  Na tangazo la pili lilikuwa scaled down hata masharti ya elimu ili jamaa apate tuu

  anyway hiyo ndio habari..sasa tegeemni wengine kuja tutetea huu fisadi
   
  Last edited: May 16, 2009
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu mbaya kama Ufisadi GT!

  Je, nani anapendelewa hapo!??
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  huyo DG wa NHC anateuliwa na nani? au taratibu za ajira yake zikoje? Na Waziri anahusika vipi katika kumteua DG wa shirika la 'umma'?
   
 4. Rugambwa31

  Rugambwa31 JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna cha zaidi bali ni kumweka mtu wao haweze walinda kwenye mambo yao. Cha zaidi hakuna hila ni ufisadi, tuombe sana watz hasa tuliopo hapa nchini tz kwani chamoto tunakiona. Mungu ibariki Tanzania, mungu bariki dunia nzima.
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji,

  Appointment zote za ma CEO/ DGs mashirika makubwa ya umma hufanywa na rais, waziri husika ana nafasi kubwa sana ya kumshauri rais kiasi mara nyingine raisi anakuwa anapitisha mapendekezo ya Waziri tu.

  Ni moja kati ya matatizo ya kumlimbikizia kila kitu rais, si rahisi rais kujua vitu vingi vinavyoendelea katika mashirika haya pamoja na personalities na potentialities, especially with the current state of affairs hapo TISS ambao hata wao wenyewe wanaweza kuwa compromised mpaka kukosa maana.

  Kwa hiyo ukiwa na rais asiye kichwa (kama Kikwete) it is quite conceivable waziri akavuruga process.

  Ingawa most probably hata Kikwete mwenyewe si mtu wa kuchagua kwa merit (kwani yeye mwenyewe hajachaguliwa kwa merit) kwa hiyo sitashangaa hata kama hakuna kuvurugwa process kazi akapewa mwanamtandao fulani, kama Cisco Mtiro yule mvaa kihereni (mila zetu wavaa vihereni ni wanawake, mabaharia na majunya) kaenda kuwa Mkuu wa itifaki Tanzania anybody can take any position.
   
 6. A

  August JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Tatizo hilo liliongelewa kuhusu Mkurugenzi wa NSSF kupigiwa Pande na Kapuya, Lakini Dr Who? or Samahani Theory Game? aliuliza kama alivyo uliza MM, hivyo mpira aliopiga yeye, MM anamrudishia
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  NHC (Nyumba Huria Chache) shirika la nyumba kwa faida ya magabacholi.
  vile vijumba vibovu vibovu ndo wanapangishwa walalahoi
   
 8. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini wakuu wa mashirika ya umma wasipate hizo kazi kwa sifa? Yaani nafasi iwapo wazi itangazwe ndani ya shirika au hata nje pia, usaili wa nguvu ukafanyika na shirika lenyewe (if capable), au na independent party then anayequalify anapewa kazi na performance contract/objectives.

  Hizi siasa siasa kila sehemu zinachangia kuua mashirika yetu. Wategemea nini DG anayejua amewekwa pale na binamu, rafiki, ex boyfriend, mkabila mwenziye etc?
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwanza kwa nini sisi kama wananchi tunakubali ma-CEO & ma-DG wa makampuni ya Serikali yawe na vyeo vya kuchaguliwa au Kuteuliwa na Wanasiasa?
   
 10. C

  Chuma JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....Ndio alivyokwambia Ben Mkapa?
   
 11. M

  Masatu JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na Mkapa aliemteua alikuwa mpuuzi kiasi kutoaana hiyo? Mbona katika short list always kunakuwa na majina matatu na ni uamuzi wa Rais nani kati ya hao amteue iweje Mkapa kati ya hayo majina matatu likiwemo la aliekuwa deputy director general wakati huo Mr Humba asione hilo? Na kama angeteuliwa Humba pia ungesema ni pande la Kapuya kwa kuwa Humba ni mnyamwezi mwenzie!
   
 12. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni habari kweli kweli.
   
 13. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kigogo wa Ikulu mwenye mchezo mchafu ni Luhanjo amekuwa akifanya hivyo kwa muda mrefu nilipatwa na mshangao alipomteua mtu wa kijiji chake ambaye hana sifa na alikuwa demoted ni SANGA akampa ukurugenzi wa shirika la LAPT.kuna move ya wazi kabisa anaifanya LUHANJO kuwabeba watu wa nyanda za juu za kusini hasa kwenye hizi appointment za Ikulu.

  Chirigati nae ni looser mkubwa sioni la maana amepewa uwaziri huku akiwa mchomvu. mchezo huu uko sehemu nyingi kama ulivyofanywa bungeni hivi karibuni na DR.Thomas Kashilillah akishirikiana na Raphael Nombo kuwaweka watu watu wasio na sifa.
  anyway tutafika.
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ukiacha raisi kutoku chaguliwa kwa merit pia angalia na chaguzi zake mwenyewe. Yeye ndiye aliyemteua Karamagi, Andrew Chenge mpaka Edward Lowassa. Pia kila mtu anajua nafasi kuu zimejaa marafiki zake kama kule foreign ministy. Sasa kama mtu amechagua watu wa nafasi za juu kwa kujuana atasema nini wengine wakifanya hivyo?

  Ndiyo maana raisi yoyote mwenye akili anateua mawaziri wa maana akijua kwamba hao ni washauri wake wakuu na pia akijua kuwa yeye hawezi kufuatilia kila kitu. Kama raisi alitakiwa achague mawaziri competent akijua yeye hawezi kufuatilia kila kitu.
   
 15. A

  August JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kwani kazi ilitangazwa mpaka useme kulikuwa na Short List?
  Pili hatakama kulikuwa kuna Short list, ikiwa Waziri katoa pendekezo kwama huyo ndio anafaa, katika hayo majina matatu, unafikiri Mkapa alikuwa na Muda wa kutaka mapendekezo mbadala, wewe mwenyewe umeona Mkapa alivyo tukapa kwenye mambo mengi, sasa ulitegemea au unategemea alikuwa muadilifu wa kufuata taratibu?
  Tatu kwa mikataba aliokuwa anafanya unafikiri Mkapa alikuwa ni Mtu mwenye akili Nzuri?
   
 16. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Ndio ukweli wenyewe huu, saafi sana mkuu.....ndio hiyo!

  Respect.

  FMES!
   
 17. M

  Masatu JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama hufai uliza tu. Kwenye teuzi kama hizo za wakuu wa mashirika na nyingine yanapelekwa majina matatu weza u called it shortlist or not lakini ndivyo ilivyo.

  Hata hiyo kazi ya DG NHC imetangazwa na interview ikafanyika na still majina yatakayo kwenda kwa Rais ni matatu.
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kuwa Tangazo la mwanzo ni tofauti na la pili

  mwanzo lilitoka walitoa tangazo wakitaka watu wenye sifa za juu

  then wakatoa tangazo kuscale down zile conditions

  sasa baadae kumbe ikaja gundulika jamaa walishampanga mtu wao na kilichobaki ni formality tuu

  halafu mnasema mnapiga vita ufisadi...
   
 19. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nathani tunahitaji utaratibu kama wa U.SA wa senate confirmation kwenye post zote kubwa za umma. In this case Bunge linaweza kufanya the same duties ku grilling and to do the fiinal vetting ya wafanyakazi wote walioteuliwa kabla hawajapewa nafasi za kazi katika mashirika ya UMMA. matitizo kama haya ni sign zinazoonyesha how the function of three part of government is dead na Raisi ana executive power kupita kiasi
   
 20. A

  August JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  najua sana taratbu zinazo tumika na pia jinsi mambo yanavyo pindishwa ili ku-favour certain people, ndio maana leo hii watu walikuwa wanalalamika uteuzi kama wa Mattaka ATC, au je unaweza kujustify vipi uteuzi wa Mkurugenzi wa BET na au Current Mkurugenzi wa Bandari etc
   
Loading...