najua sana taratbu zinazo tumika na pia jinsi mambo yanavyo pindishwa ili ku-favour certain people, ndio maana leo hii watu walikuwa wanalalamika uteuzi kama wa Mattaka ATC, au je unaweza kujustify vipi uteuzi wa Mkurugenzi wa BET na au Current Mkurugenzi wa Bandari etc
Bandari kila mtu alishangaa kupewa Mgawe ambaye hana uwezo na uzoefu.kulikuwa na dada mwenye uzoefu lakini Basil Mramba alimpiga vita yule na dada na kumkata huku chini kabla ya kupeleka kwa rais.Mramba alishirikiana vizuri na katibu mkuu kiongozi bwana LUHANJO.yule dada kilichomuharibia alikuwa MUISLAM.
ATCL nako kulikuwa na DR. Omari NUNDU ambaye amefanya tafiti nyingi za mambo ya ndege ana phD kwenye fani ya mambo ya anga. mwafrika wa kwanza kuwepo kwenye tume ya Anga duniani na rais wa kwanza wa mambo ya anga duniani. kwa nguvu za katibu mkuu LUHANJO ambaye ndio mtendaji mkuu wa IKULU alimnyima kazi DR.Omar Nundu kwa msingi wa dini yake kama alivyonyimwa dada ambaye angepata Bandari.
Katibu mkuu Kiongozi ana nguvu sana kwenye maamuzi haya lazima mjue huyu ndio mkuu wa usalama wa Taifa kwa namna nyingine.kati ya watu ambao JK alipaswa kuwaondoa ni Bwana Luhanjo ni mkabila na mdini mkubwa.hatukatazi kuweka watu wako lakini wawe na MERITS sio kulazimisha kama MGAWE na BANDARI,SANGA NA LAPT,MATTAKA NA ATCL.
Shirika la Nyumba linatakiwa lipate mtu mwenye uwezo sio kumpeleka mtu kwa kuwa ni kabila lako au unasali nae kanisa moja bila kutizama mustakali wa shirika husika.