Simba haina Mchezaji mwenye jina hilo kaka. Ebu fanya utafiti upya kuhusu hiyo kituVictor Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
simba inaweza kwenda mechi za kimataifa, wakipimwa wakakutwa na corona, ikaondolewa kwenye mashindano.Covid ni mafua tu
Kenya nao wajiongeze
Utopolo atabaki kuwa utopolo tu!Ni kweli mkuu onyango alipokua ana kimbizana na TK master aliparasa upala wake' chini.
inasemekana kapata corona TanzaniaJoash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Kwa hiyo??Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Mkiwa mnapata Habari zenu za 'Vichochoroni Media' msiwe 'mnakurupuka' nazo humu 'Mitandaoni' kabla ya 'Kuzihakiki' kwani zitawafanyeni nanyi pia muanze kuonekana ni wa 'hovyo hovyo' tu.Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.