Anaitwa John Bocco(Mzee) timu ya Taifa anaachwa Shomari Kapombe kweli "ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni!"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,740
TFF na Shomari Kapombe Kuna mgogoro wa Muda mrefu sema kocha Ambrouch ni kama sababu na kisingizio tu na anatumika Kama fimbo kumchapa Shomari Kapombe.

Kwa wachezaji Wazawa Tanzania mpaka Sasa hakuna beki Bora Kama Shomari Kapombe nasema Tena hakuna! Nasema Tena hakuna! Nasema Tena hakuna hakuna!

Shomari Kapombe ni beki tegemezi katika kikosi Cha Simba sc, na ndiyo beki mwenye uzoefu mkubwa katika mechi za kimataifa Hilo halina kipingamizi na watu wa mpira Wanaweza kuunga MKONO kwa hiki ninachokiandika.

Kama kigezo ni umri mbona John Rafael Bocco kaitwa??

Kama kigezo ni umri mbona Vijana wetu wadogo kabisa wameachwa??
Yupo wapi Mzinze, Kibabage na Abdul Suleimani Sopu??

Ni lini Hawa Vijana watapata "Experience" na kuonekana kimataifa kama hatuwapi Nafasi na kuwachukua wakina John Bocco?

NALIA NGWENA naiona nafasi Ya Kapombe katika kikosi Cha timu ya Taifa Ila kinachofanyika ni ubabaishaji tu na siasa za mpira na wazee wa ten percent.

Ndiyoooo!! Alipoachwa Shomari Kapombe niliikumbuka lile tukio la kunyimwa kiwanja /kutaka kudhurumiwa baada ya wachezaji wenzie kupewa lakini Shomari Kapombe hakupewa mpaka Captain Mbwana Samata alipoliingilia Kati na Kuhamasisha wachezaji wasichukue mpaka Shomari Kapombe na yeye APEWE ndipo nao WATACHUKUA.

Na kweli the captain Mbwana Samata all fanikiwa walapewa wote.

Toka kipindi hicho kuitwa kwa Shomari Kapombe timu ya Taifa imekua ni ngumu kutokana na influence za viongozi ndani Ya TIFUA TIFUA.

Maoni Yangu: Shomari Kapombe anastahili kuwepo katika kikosi Cha timu ya Taifa, TIFUA TIFUA waache Figisu na kumpangia kocha.
1704630966744.jpg
 
Maoni Yangu: Shomari Kapombe anastahili kuwepo katika kikosi Cha timu ya Taifa, TIFUA TIFUA waache Figisu na kumpangia kocha.View attachment 2864569
Bocco kaitwa wap wakat yupoo zanzibar anacheza mapinduz na kuusu kapombe unataka amtoe haji mmnoga au mbona kiwango chake kizur muachen kocha afanye kaz yakeee
 
HAPO KWA BOCCO NIMEKOSEA MODERERETA WATABADILI NILITAKA KULIZUNGUMZIA TOKA KWENYE MICHUANO YA CHAN Active HUYO MNOGA WA KAWAIDA TU.
 
Acha ujinga kapombe beki gani wewe mbna ameruhusu mipira mingi kupita upande wake na kasababisha Simba kufungwa magoli mengi kimataifa

Ningekuwa kofa either Simba au taifa hata kumuita tu kikosi nisingemtumia kamwe

Beki wako kina kibwana ,job na mwamnyeto wako vzr tu

Hutu kapombe
 
TFF na Shomari Kapombe Kuna mgogoro wa Muda mrefu sema kocha Ambrouch ni kama sababu na kisingizio tu na anatumika Kama fimbo kumchapa Shomari Kapombe.

Kwa wachezaji Wazawa Tanzania mpaka Sasa hakuna beki Bora Kama Shomari Kapombe nasema Tena hakuna! Nasema Tena hakuna! Nasema Tena hakuna hakuna!

Shomari Kapombe ni beki tegemezi katika kikosi Cha Simba sc, na ndiyo beki mwenye uzoefu mkubwa katika mechi za kimataifa Hilo halina kipingamizi na watu wa mpira Wanaweza kuunga MKONO kwa hiki ninachokiandika.

Kama kigezo ni umri mbona John Rafael Bocco kaitwa??

Kama kigezo ni umri mbona Vijana wetu wadogo kabisa wameachwa??
Yupo wapi Mzinze, Kibabage na Abdul Suleimani Sopu??

Ni lini Hawa Vijana watapata "Experience" na kuonekana kimataifa kama hatuwapi Nafasi na kuwachukua wakina John Bocco?

NALIA NGWENA naiona nafasi Ya Kapombe katika kikosi Cha timu ya Taifa Ila kinachofanyika ni ubabaishaji tu na siasa za mpira na wazee wa ten percent.

Ndiyoooo!! Alipoachwa Shomari Kapombe niliikumbuka lile tukio la kunyimwa kiwanja /kutaka kudhurumiwa baada ya wachezaji wenzie kupewa lakini Shomari Kapombe hakupewa mpaka Captain Mbwana Samata alipoliingilia Kati na Kuhamasisha wachezaji wasichukue mpaka Shomari Kapombe na yeye APEWE ndipo nao WATACHUKUA.

Na kweli the captain Mbwana Samata all fanikiwa walapewa wote.

Toka kipindi hicho kuitwa kwa Shomari Kapombe timu ya Taifa imekua ni ngumu kutokana na influence za viongozi ndani Ya TIFUA TIFUA.

Maoni Yangu: Shomari Kapombe anastahili kuwepo katika kikosi Cha timu ya Taifa, TIFUA TIFUA waache Figisu na kumpangia kocha.View attachment 2864569
Acha kocha apunguze idadi ya wazee. Ulitaka vijeba wote waitwe?
 
Nisaidie kumuangalia Bocco hapo,hivi unaandikaga ukiwa ushameza visungura au chimpumu?
tanfootball-20240107-0001.jpg
 
Back
Top Bottom