Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

Kama n hvo hata Taifa Stars wanaweza wasicheze na Tunisia maana wote wanaweza kukutwa na Covid19.
inawezekana kabisa, haya mambo sio ya kuchukulia ushabiki, nchi nyingi corona wanaichukulia serious sana. niliona wachezaji wa taifa stars wakiwa uturuki wamevaa barakoa. itakuwa wamepimwa.
 
Kenya mnapaswa kwanza kuangalia Hilo Jambo kwa UPANDE wenu.
Hyo Corona kaipatia huko huko.
Muacheni huko akipona atarudi.
Poleni Sana.
 
Believe it or not Wakenya bado inawauma sana kuona Corona haija athiri Tanzania kama kwao. Yule jamaa anadai Federation wameamua kufanya siri. Siri! Wakenya wafanye siri kwa manufaa ya nani?

Ya kwao wenyewe hawafanyi siri sembuse mchezaji alietokea Tanzania? Kwa upendo gani waliokua nao dhidi yetu na kuamua kulinda image yetu!

Nitaamini endapo Federation ya Kenya itatangaza ila sio source uchwara.
Corona ipo...waanze kupima watu mtaani utashangaa
 
Back
Top Bottom