Mchepuo wa HGL Vs Fani za vyuo Vs Upatikanaji wa ajira.

Vanpopeye

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
620
59
Habari ndugu zangu, kwa anayesoma mchepuo wa HGL anaweza akasomea fani gani chuo kikuu ikiwa matarajio yake ya kwanza ni kupata ajira? (Fani ambayo ajira zake si ngumu sana kupata)

Pia anaweza akasomea ualimu akawa mwalimu wa Geography+Language?(Kwa kuwa tunaona sasa waalimu wa Arts wengi hawapo kwenye ajira ya ualimu)

Asante.
 
Soma tu msomi akosi kazi piga gpa tamu utapata tu kazi ata private walimu wanapata mbona pia kuwa na mawazo ya kujiajiri zaidi.
 
Back
Top Bottom