Mchepuko wangu unanipenda sana, nashindwa kumuacha

Mchepuko hawezi kukupenda unless umemuahidi ndoa, anapenda pesa zako.
Wewe mwambie mke wako ndio anakaa na card zote za bank, ana monitor source zote za pesa zako kwaio huna hela.
Mkikutana mwambie yeye ndio alipe etc mki meet mara 2 tu ya tatu hutomuona
 
Miaka mi3, ushamchezea unataka kumDITCH, acha akuroge tu, mnacheza na mioyo ya watu nyinyi.
 
Yaani unahitaji Msaada afu unatuandikia Kingereza? Hizi dharau umetoa wapi wewe?
 
Back
Top Bottom