Mchepuko wangu unanipenda sana, nashindwa kumuacha

She knew that you're married before you all get into that relationship? If it's a yes , she deserves it(hurts). Let her learn from her mistakes, you can't cheat with somebody's husband and expecting not to be hurted, That's a wife's prayer (answered prayer)
Ndo Umeandika Nini boss
Wengine tumeishia lanne B la mkoloni
 
Mchepuko Wangu umeniacha baad y uyu mzaz mwenzangu kumpgia cm ya kutaka kujua mchepuko akakata kamba hataki kusikia chochot
 
Mimi nilifanikiwa, ilikuwa mwaka mmoja wa kuishi naye kisha nikataka kujinasua bila hatia….. ila ndo ujue kumuua nyani japo ilinigharimu kidogo.
 
Njia nzuri ni kumpiga matukio kisha akuache yeye, ili ajione mshindi…. imeisha hiyoooo.
 
Hakuna njia ya kuachana na mwanamke hasa anaekupenda bila ya kumuumiza. Ila ni bora umuache aende maana kuzidi kukaa nae ni kumuwekea usiku bila sababu,huku wewe mwenyewe huna mzuka nae tena. Mimi ikifikia hiyo hali hua nakata mawasiliano sijibu msg, sipokei simu wala simtafuti mpaka akate tamaa mwenyewe. Sio njia yakiungwana sana but it works all the time.
Yeah hii ni nzuri kuliko kukueleza in direct anaweza kukuua au kujiua, Yaani anachopaswa kufanya nikuji keep busy sometimes asingizie hata Safari za kikazi
 
Na mwanamke kwenye pesa full maigizo ata shahawa atameza...eti bby shahawa zako tamu
Weeeh kwenye pesa utashangaa unajiuliza hivi huyu mwanamke alikuwa wapi siku zote!! Kumbe watu wana mahesabu yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom