Mchepuko wangu aliyeolewa kanipigia simu

Number yako anayo na anakupendaga sana...
ngoja nimwanbie akusalimie...
Atakutumia zawadi nyingi tu...
Weee hebu afanye kunicall haraka basiii!!

Nasubiria zawadi hapa πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ˜
 
Weee hebu afanye kunicall haraka basiii!!

Nasubiria zawadi hapa πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ˜
Hahaha ila ukimuita mpigane hata bila sababu anakuja na mnapigana vizuri mpaka akili ziwwakae sawa...
Hahaha
 
Hahaha ila ukimuita mpigane hata bila sababu anakuja na mnapigana vizuri mpaka akili ziwwakae sawa...
Hahaha
Navenye anajifanyaga anakudiss kumbe kwako hachomoi mmxxxxxeeeewwww😁😁!
 
Navenye anajifanyaga anakudiss kumbe kwako hachomoi mmxxxxxeeeewwww😁😁!
Kumbe humjui... Hayupo hata JF... Nitamwambia akupigie simu, ila usimchokoze akili zake anazijua mwenyewe...
 
Duu!! Huyo humjui kabisa, hata hujawahi kumsikia...
Hahaha ila yeye anakujua vizuri...
Weee alikupea mastaili aje mpaka ukamwagika kunihusuπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…