Mkuu sikuweza kueleza kila kitu, ukweli ni kwamba huyu mdada alianza muda kusema kuwa nitarudi naye Tz mimi nikawa nadhani anatania. Tukawa tumefika muafaka kwamba mimi nitatangulia ili nimtengenezea mazingira ya yeye kuja Tanzania na pia ningemwalika kama business partiner ili apate visa hata ya miezi miwili kwanza lakini akija Tz atafanya process ya kuomba kuongezewa visa. Tukawa tumeelewana hivyo ndipo akaenda kufanya booking. Ajabu akarudi na akiwa amefanya booking mbili yangu na yake. Nikamuuliza kuhusu visa atafanyaje akasema hakuna shida anaomba kama mtalii na kesho ndo anaenda kwa wakala iliamtumie maombi yake ya visa kwenye ubalozi wa wetu ulioko Japan. Nataka nifanye mchezo kama nitapata mtu pale ubalozini aweke pending application yake.Yaani anajikatia tu tiketi, no visa no "nothing"!! Strange bro
Lil Wayne Mkorea siyo mzungu na hata tabia hawafanani. Ni angalizo tu.Kama suala la kuchagua mimi nashauri uchague kubaki na Mke kuliko huyo mkorea.
Sacrifice mahusiano ya huyo mkorea.
Kwa jinsi ninavyo wajua wazungu. Ukiamua kumuacha Mkeo ili uendelee kuishi na huyo Mkorea, hakika nakwambia ipo siku atakumbuka kwa na atakuambia anahitaji kurudi kwao na mtoto, tena kwa lengo la kuishi huko moja kwa moja.
(Wanasema mfuga nyani awe tayari siku nyani atakapo kumbuka pori na kuamua kurudi)
Hapo ndipo utakapo anza kumkumbuka mkeo na kujutia kwa nini ulimuweka pembeni na kumpa nafasi mkorea.
KumkimbiA sio suluhisho, fikiria yafuatayoKweli kaka damu yangu ni muhimu sana, ila cha muhimu ni kutafuta suluhisho wa tatizo hili lilipo kwanza.
Haiwezekani muachane kwa amani wakati unamuachia msala mkubwa? Msala wa mimba, kukataliwa na ndugu, kunyanyapaliwa, na pengine akajiua pamoja na kiumbe kilichopo tumboni.Mkuu sina mpango wa kumuacha mke wangu natafuta namna ya kumueleza huyo mkorea ili anielewe na tuachane kwa amani.
Mkorea ana 150m wataishi tu aje nae watapata cha kufanya ht wife ata shhhhhFikiria jinsi serikali ya uncle Magu ilivyobana kwa maisha ya kibongo bongo, mleta mada kama muajiriwa atakuwa na uwezo wa kutunza nyumba mbili? I'm trying to be realistic here.
Na wanawake wa bongo hakuna asiejua kwmba mume anachepuka ataskitika ila atakubali tu ishu ni kumpanga mkorea nae akubali kuwa bi mdogoMkuu Lube, hiyo accident ishatokea !! sasa wee ni Rijali dume unahitajika TZ na KOR.. hivyo simama imara with your head up !!
chukuwa ushauri " Do not let your difficulies fill you with ANXIETY, it is only in the darkest Night that the stars shine more brilliantly"
mwambie mkorea una ndoa ya kimila (afrikcan culture) na huko Bongo mwambie shem maji yalizidi udongo.. kama binadamu yametokea.. !!
Hapo wewe ni winner winner tu!!
Mkuu akiwa mbogo ataanza kushtuka na kuwa nae makini zaidi tena ukute ashajua ana mke now anamchora tuWewe naye!!! Sijui ndo kunogewa. Jaribu kumtafutia kijisababu uanze kumzoesha kukaa naye mbali...akikuudhi kidogo unakuwa mbogo haswa ikiwezekana unajidai umewamba hutaki mawasiliano naye kwanza. Kidogo kidogo ataanza kulegea mwenyewe. Ikishindikana basi nenda hata hadi huko Busan then mtoroke nenda Japan kwa meli...hakikisha mizigo ya mhimu umemwachia jamaa yako ili aje nayo. Hili saga solution ni kutoroka...Hata unaweza ukacancel ticket pia ukajifanya kutafuta kazi hapo korea...then baada ya muda unatoroka. Familia yako inahusika zaidi, huyo mtoto wa kikorea akikua atakuja kukutafuta, kama Barack Obama alivyofanya!!
Ushauri wako powa !!Na wanawake wa bongo hakuna asiejua kwmba mume anachepuka ataskitika ila atakubali tu ishu ni kumpanga mkorea nae akubali kuwa bi mdogo
Lini jamani watu tutajifunza kuwa sincere kwenye maneno na matendo yetu??? Mnatunga mimba za uongo mnazaa uongo! Ndiyo maana tumezungukwa na jamii iliyojaa uongo tu sababu ya wazazi kuwa ndiyo wapika uongo namba moja! Haya uliyoyafanya yanaakisi mahusiano mengi tuliyonsyo siyo wanaume wala wanawake. It's really sickening! Sasa mtu amwamini mwingine kwa lipi kama tunaweza kutunga uongo mkubwa nakuweka maisha ya wengine hatarini bila hata kujali! Ila kabla hujamwogopa mkeo muogope Mungu ambaye anakujua kuliko hata unavyojijua. Na kumbuka asemaye uongo huyo ni wa ibilisi sababu yeye ndiyo baba wa uongo. Na mwisho kabisa ujue your putting your life at risk more than you could imagine! Huyo dada akijua unamdanganya na hivi uko nchini kwao ujue maisha yako yanaweza kuishia hapo na mkeo na watoto hata usiwaone. Kumbuka mcheza kwao hutunzwa!Nahofu nikimwambia nikiwa bado ndani ya ardhi ya naweza pata matatizo. Huyu binti aliwaahi kusimama kidete kumpinga mama yake na ndugu zake wengine. Alikuwa yuko radhi tuache kuache kusoma Korea twende tukasomee South Afrika ili tuishi kwa ama mimi na yeye bila bughudha za ndugu zake.
Tatizo ni MKOREA....kamganda jamaa kama LUBA....bila shaka kashamstukia MMATUMBI....Mh haya kheri ayafanye wakiwa ana kwa ana. Anaweza kuchukua uamuzi wa kipuuzi siku mbili hizi jamaa hajarudi.
Nimelipendspa hili. Superb.rudi nae ila anza kumueleza mkeo kuwa una mletea mwenzake na ukifika Doha una mwambia mkorea.....
......IYO NDEGE ITAKUWA IMEMBEBA PEKE YAKE?Kweli? Wewe kaka bora hiyo ndege utakayopanda ipoteze mawasiliano huko angani familia italia weeee eeee baada ya
muda watazoea kuliko kuwaletea mke mwenza atayeleta ufa ktk hii familia.
Ajoshiii...Anyohaseyoooo!!
Option 1: Wakati mnajiandaa kumalizia mitihani, anza kujipanga mapema kumuweka chini umweleze kuhusu kutofurahishwa nayeye kushika mimba bila kukushirikisha. Muonyeshe umekasirika sana unahitaji muda wa pekee kutafakari.
Akikupa muda wa kutafakari, hapo ndo michoro yooote utaichora ikiwa ni pamoja na kununua zawadi (unaweza kumpa hata mshikaji akakaa nazo) then kata ticket yako ya mapema zaidi mpe mshikaji wako akakae nayo pia. Harafu siku unamaliza tu mtihani (anza mishe mishe za kusafiri) achana na mambo ya graduation kabisa.
Wewe bwana kama unataka mambo yaende sawa, hakikisha unamtoroka kabla ya siku hiyo mliokata ndege. Umekata ticket ya kampuni gani? Ethiopian, Qatar Airways, Etihad? Kata ndege ya shirika lingine siku ambayo ni ya mapema zaidi.
Option 2: Kama utaona kazi kubwa kumtoroka, basi siku ya mtihani wa mwisho (last day) ndo usafiri ...singizia hata kuwa una msiba mzito nyumbani na hauko sawa. Hapo kwa gharama yeyote lazima uondoke na utawasiliana naye ukiwa umeshafika bongo kuhusu kumwambia ukweli.
Option 3: Naimani mimba bado iko trimester ya kwanza, bado inamzengua haswa. Sasa basi unaweza kusubiri hadi mitihani ikaisha, hope pia kuna gap kati ya siku ya kusafiri na siku ya kumaliza mitihani: mwambie unataka kwenda Shangai, China kwa ajili ya kununua mizigo ya biashara kuipeleka Tanzania ili upate pakuanzia, akikataa mwambie unataka kwenda kuchukua mizigo kwa rafiki yako amekupa basi ndo gia ya kwenda Busan ukapande meli huyoo Japan. Ukifika Japan umeshaula...unatafafuta namna ya kusepa kwenda bongo kiulainiiiii.
Mdogo wangu ukiendelea kuwa kwenye himaya yake, uwe tayari kukubali matokeo. Nawajua hao jamaa hawana mchezo.
Anyohikaseyooooo!!!