Mkuu ushauri ni jambo gumu na hushinda wengi!. Mwandishi was Biblia anasema tukitafuta ushauri kwetu wenyewe tutakuwa tunaongeza dhambi juu ya Dhambi!! Binafsi nakushauri jambo hili:- kwa kuwa kama ni dhambi na uovu mmeshatenda sasa cha msingi usimwambie ukweli huyo mkorea mpaka ufanikiwe maliza semester yako ya Mwisho, anza kuandaa nyumba kwa ajili take either Dar au Arusha ndo mfikie baada ya hapo utamueleza kila kitu huku ukimwambia mkeo kuwa mtihani was Mwisho ulihairisha mpk baada ya wiki mble. Itasaidia kidogo kwani watakao humia sana ni hao wawili pamoja na jamii inayokuzunguka Mkuu!! Pole sana ila hakukuwa na namna huwa wanawake nao sometimes kuwakwepa ni ngumu!!!
Hivyo vingine vyote naweza fanya ila siyo kuchukua fedha yake. Kumbuka binti ana detail na particular zangu zote akienda interpol nitadakwa kama kuku wa kizungu.be a man kata tiketi nyingine ya ndege, tarehe ya mapema then toroka , badili namba ya simu email, hela iliyo benki yote chukua
Hivyo vingine vyote naweza fanya ila siyo kuchukua fedha yake. Kumbuka binti ana detail na particular zangu zote akienda interpol nitadakwa kama kuku wa kizungu.
Well said brother, baada ya mtihani kuna allowance ya wiki kama mbili hivi.Ajoshiii...Anyohaseyoooo!!
Option 1: Wakati mnajiandaa kumalizia mitihani, anza kujipanga mapema kumuweka chini umweleze kuhusu kutofurahishwa nayeye kushika mimba bila kukushirikisha. Muonyeshe umekasirika sana unahitaji muda wa pekee kutafakari.
Akikupa muda wa kutafakari, hapo ndo michoro yooote utaichora ikiwa ni pamoja na kununua zawadi (unaweza kumpa hata mshikaji akakaa nazo) then kata ticket yako ya mapema zaidi mpe mshikaji wako akakae nayo pia. Harafu siku unamaliza tu mtihani (anza mishe mishe za kusafiri) achana na mambo ya graduation kabisa.
Wewe bwana kama unataka mambo yaende sawa, hakikisha unamtoroka kabla ya siku hiyo mliokata ndege. Umekata ticket ya kampuni gani? Ethiopian, Qatar Airways, Etihad? Kata ndege ya shirika lingine siku ambayo ni ya mapema zaidi.
Option 2: Kama utaona kazi kubwa kumtoroka, basi siku ya mtihani wa mwisho (last day) ndo usafiri ...singizia hata kuwa una msiba mzito nyumbani na hauko sawa. Hapo kwa gharama yeyote lazima uondoke na utawasiliana naye ukiwa umeshafika bongo kuhusu kumwambia ukweli.
Option 3: Naimani mimba bado iko trimester ya kwanza, bado inamzengua haswa. Sasa basi unaweza kusubiri hadi mitihani ikaisha, hope pia kuna gap kati ya siku ya kusafiri na siku ya kumaliza mitihani: mwambie unataka kwenda Shangai, China kwa ajili ya kununua mizigo ya biashara kuipeleka Tanzania ili upate pakuanzia, akikataa mwambie unataka kwenda kuchukua mizigo kwa rafiki yako amekupa basi ndo gia ya kwenda Busan ukapande meli huyoo Japan. Ukifika Japan umeshaula...unatafafuta namna ya kusepa kwenda bongo kiulainiiiii.
Mdogo wangu ukiendelea kuwa kwenye himaya yake, uwe tayari kukubali matokeo. Nawajua hao jamaa hawana mchezo.
Anyohikaseyooooo!!!
Kama ni chai feki huulazimishwi kunywa.Ukipika chai make sure inakuwa ya maziwa siyo kutupikia chai ya rangi kwa kutumia mavi ya ngombe halafu haina sukari au vipi? btw shule ipi ya Kata unayosoma?
Mkuu Lube, hiyo accident ishatokea !! sasa wee ni Rijali dume unahitajika TZ na KOR.. hivyo simama imara with your head up !!Ushauri wako nitauzingatia, ila umeharibu ulipotukana, hujui mazingira niliyokuwa nayo, huyu binti tulipokuwa marafiki hakuwahi niuliza habari za mimi kama nimeoa wala mimi sikuona sababu ya kumwambia kuwa nimeoa. Tukiwa marafiki hakutaka kuona mimi nazungumzia habari za wanawake wengine anatabia fulani ya wivu. Taratibu tukajikuta tumevuka mipaka, mimi sikuona sababu ya kuweka wazi kwa sababu nilijua ni mahusiano ya muda mfupi na hatuna mpango wa kuoana, bahati mbaya zaidi mwenzangu akanogewa moyo huruma ukawa unaingia ili nisimuumize. Mimi technique yangu ilikuwa ni kwamba nikisharudi bongo ndio nivunje mahusiano kumbe yeye yuko mbele yangu 300 km. Huo ujauzito kashika makusudi mana siku zote alikuwa makini sana.
Ni kweli kabisa kila mchuma janga hula na wa kwao, mpigie simu mama watoto msimulie A to Z, don't worry, huku ukilia mbaya (kinafki) jibu atakalo kupa litafungua mlango wa PILI. BELIEVE me ma frendNahofu nikimwambia nikiwa bado ndani ya ardhi ya naweza pata matatizo. Huyu binti aliwaahi kusimama kidete kumpinga mama yake na ndugu zake wengine. Alikuwa yuko radhi tuache kuache kusoma Korea twende tukasomee South Afrika ili tuishi kwa ama mimi na yeye bila bughudha za ndugu zake.
Kajilengesha kwa mapenzi leo umwambie atoe?Kutoa mimba ni kosa kwa huko
Utoe ya nini? Du uue tena si afadhali utumbue jipu kijulikane kipindi ni kipiKutoa mimba ni kosa kwa huko
Wewe naye!!! Sijui ndo kunogewa. Jaribu kumtafutia kijisababu uanze kumzoesha kukaa naye mbali...akikuudhi kidogo unakuwa mbogo haswa ikiwezekana unajidai umewamba hutaki mawasiliano naye kwanza. Kidogo kidogo ataanza kulegea mwenyewe. Ikishindikana basi nenda hata hadi huko Busan then mtoroke nenda Japan kwa meli...hakikisha mizigo ya mhimu umemwachia jamaa yako ili aje nayo. Hili saga solution ni kutoroka...Hata unaweza ukacancel ticket pia ukajifanya kutafuta kazi hapo korea...then baada ya muda unatoroka. Familia yako inahusika zaidi, huyo mtoto wa kikorea akikua atakuja kukutafuta, kama Barack Obama alivyofanya!!Well said brother, baada ya mtihani kuna allowance ya wiki kama mbili hivi.
Swala la kujadiliana na huyu binti halitakiwi kabisa kwa sababu alionyesha dalili za kuwa makini ukimwambia nataka kwenda Shangani au Busan yeye anaweza kusema twende wote. Kwanza kwa muda aliokuwa nami amekata mawasiliano na ndugu jamaa na rafiki kampani yake ni mimi, hawezi akakaa siku nzima bila kuonana.