Kivipi me niko nje ya bongo ina maana huku nimekuja kwa ungo? Hapo namaanisha atume mizigo kwa mkewe yeye aje na kibegi tu. Ina maana ww hujawahi safirisha mizigo kwenda sehemu nyingine?si bure wewe hujawahi kupanda ndege
Hilo hata mie limenishangaza.........KUNA WAZO LA MSINGI UMELETA...Inamaana jamaa muda wote hakuwa akivaa wedding ring.
Mkuu usiache kutoa maoni yako tafadhali....!!Mmh! Ngoja nikale kwanza
Hizi ndoa ni Mungu saidia...Shkamoono wanaumeeee
Unampenda mkeo
Unawapenda wanao
Lakini unammimba mwanamke mwingine....
Shkamooni nasema shkamooni
kwa nini unanitukana mkuu, huwezi jibu bila kutoka povu kilichokupanikisha ni nini? unajua kama ni kosa kumtukana mtu mtandaoniwe bwege kabisa kwa hiyo ukiwa nje ya bongo lazima uwe umekwea pipa,hata kisumu nje ya bongo na unaweza kwenda hata kwa guta
Wasukuma wanasemaga, 'wapugije shitumbula munada'Well said brother, baada ya mtihani kuna allowance ya wiki kama mbili hivi.
Swala la kujadiliana na huyu binti halitakiwi kabisa kwa sababu alionyesha dalili za kuwa makini ukimwambia nataka kwenda Shangani au Busan yeye anaweza kusema twende wote. Kwanza kwa muda aliokuwa nami amekata mawasiliano na ndugu jamaa na rafiki kampani yake ni mimi, hawezi akakaa siku nzima bila kuonana.
Bhatalogaga abhoi.bhebhe baba Lubebena Mawe, wandije kugabebena mpaga na mawe ka kizungu.. ila pole nkoyi niyoooo ulu ni nene unzungu niwashika shi, atiko kulema shi, ngwilege utolile nyanda, ukucha. ivi abhazungu batalogaga?