sina ushauri, ila lolote laweza kuwa, Korea sio Bongo, wanawake wa Kiasia nawaelewa vema. Husijaribu kusema ukiwa kwenye ardhi yao. Ukimtoroka na anayo address atakuja tu maana anayo mimba yako. Umeficha hukusema ukweli hawa watu kuwa na mahusiano na ngozi nyeusi ni shida, wewe ana mimba yako. hawezi kukaa kwao lazima akufuate. Chalii wa Arusha wanasema imekula kwako.
Ondoka naye mlete Bongo, Mweke mahali, then mueleze ukweli na mwambie aamue na unampenda. mwambie utaishi nao wote. ninavyowaelewa hao mwanzoni ataoverlook ila kuna muda atachomoa na kurudi kwao, ila atakuwa ameshakuwa na maamuzi ya kukuacha kwani atakuwa amejua kama alivyoambiwa wanaume wa kiafrica ni matapeli. ni matepeli kweli. huo utakuwa mwisho wake wa kufuata watu wasiokuwa na P.o Box