Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Ewaaaaa..... yani ni hawara unayemfanyia Usamaria wema ili naniliu yake isizibe. Sasa hawara kama huyu anapokaba kama Roberto carlos unategemea nini??
Unanichomesha mahindi ujue....Sawa dear, ngoja nikachungulie....
Ewaaaaa.... huyo hana sifa ya kuwa hawara. Sifa yake ni mchepuko!!Ni kumpiga red card akakae bench asubiri kusajiliwa msimu mwingine
Hivi unaweza ukauambia mchepuko "nampenda mume wangu, kuliko navyokupenda wewe"?[/
NA MWENYEWE ANAAMINI ANAPENDWA KULIKO MUME! MWE!!!
Habari ndo hiyo
Haha hii inamaanisha, either wanaume tuna-fall short, or wanamama wana ndoto zisizo na uhalisia.
Kama vile umeandika hii thread kwa ajili yangu! I'm in exactly similar situation. Mchepuko wangu ulonifundisha vitu adimu umepata mchumba.Aliniarifu kwenye simu akawa anabanwa na kwikwi anashindwa kuongea sawasawa. Nikamwambia it's ok, endelea na maisha yako dada, ila rohoni inauma kweli aisee!Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....
Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana sana...ni zaidi ya mchepuko kwangu. Hakuwahi kuniharibia home, alikuwa very understanding...we enjoyed each other's company! i dare to say that WE LOVE EACH OTHER!
Kaniambia anataka kuolewa now..na bwana kashampata....ingawaje bado tunapendana ila sina jinsi!Najisikia vibaya sana, but i have to let her go akaanze maisha yake mapya ya familia....
I'm sure hata akiwa huko anaweza bado kunipa mzigo kwa jinsi tulivyoshibana...Lakini sitaki hilo litokee, sijui ntalizuiaje?Nenda salama mama nenda, nafuta namba zako zote na ku block kila kinachokuhusu, nenda salama mama...
Chonde chonde mheshimu mumeo, ingawa humpendi kama unavyonipenda mimi...ila sina jinsi i have to let u go!..Sijui kama nichangie harusi ama lah! na nihudhurie ama lah! nisije kulia mbele ya kadamnasi bure....nenda salama mama, i'll always miss you!
.............................with ocassional waves of crushes! yahooo!Duuh kumbe ndo inavokuwaga aiseeh mna kazi sana mlioko kwenye kifungo cha ndoa na mahusiano ya muda mrefu.
Thanks God am sailing on the bachelor's boat yiipiiiii.
Sijui kwanini tuu, yani mchepuko anakupa sifa zaidi ya mke. Hadi unajifeel upo wapi sijui kumbe mchepuko...
Acheni hizo...
Itabidi watu warejee kwenye zile nyuzi za kuweka sawa (standards) mambo ya MMU....
Inakuwaje mtu anajadili mwenzi wake na mchepuko? Ni sawa na kujadili uzuri wa juice na bia....vinajadilika??
cc Asprin
Mkuu nadhani hili suala halieleweki vizuri kwa watu wengi. Binadamu ni mnyama kama wanyama wengine. Linapokuja suala la kuoa kwa maana ya kutafuta mwenza wa kuendeleza naye uzao wako basi vingezo vya mapenzi ya kweli huwa na nafasi ndogo sana. Wanaovidendekeza hivyo huishia kulia kilio na kusaga meno.
People do marry for so many other reasons and true love (to me) plays a very small role! I know it might be debatable but I can argue my case with millions of evidence!
People do marry for so many other reasons and true love (to me) plays a very small role! I know it might be debatable but I can argue my case with millions of evidence!
Itabidi watu warejee kwenye zile nyuzi za kuweka sawa (standards) mambo ya MMU....
Inakuwaje mtu anajadili mwenzi wake na mchepuko? Ni sawa na kujadili uzuri wa juice na bia....vinajadilika??
cc Asprin
Unajua enzi zetu hatukuwa na hiki kitu kinaitwa "semina za ndoa" kabla ya kufunga ndoa. Siku hizi kama huna cheti cha kuonyesha umehudhuria semina ya ndoa, ndoa haifungwi.
Mzee mwenzangu umeona hii tofauti??
Kadiri tunavyoenda mbele mambo yanazidi kwenda mrama. Namshukuru Mungu sikuzaliwa enzi hizi.
Mwambie akueleze nini maana ya "wife material".
Exactly babu, mwenye kuelewa na aelewe. Ikitokea hiyo debate naomba unishtue na mimi mapemaa
Mkuu kwa hiyo mchepuko ndo bia? Teh teh...
Heaven Sent hivi mke ni juice au bia?Hawa vijana wananichekesha sana....wanadhani mke ni figure na hayo wanayoyaona barabarani? Au eti mume ni six pack na ubishoo wa kujirusha?
Wanatakiwa kufikiria upya!!
Tulishayajadili sana tena sana. Labda kwa vile wajukuu wengi wameingia hapa majuzi. Ingekuwa vizuri wakapitia nyuzi za nyuma!!
Unaweza kuwa juice pia au ice cream.
Labda tumuulize mzee mwenzangu Asprin kama kuna uwezekano wa ku-compare and contrast bia na juice!!!
Heaven Sent hivi mke ni juice au bia?
Heaven Sent hivi mke ni juice au bia?
Hilo swali linawafaa nyie jinsia pinzani teh
Hapo sasa unamwonea?
Hivi utamu wa karanga anaujua muuzaji au anayeonja?
Halafu juice kwako inaweza kuwa bia kwa mwingine.....!
Hii dunia haijaanza leo mkuu na kuna watu wanaamini kuwa hakuna tena cha kugundua katika ulimwengu MMU!!
Hilo swali linawafaa nyie jinsia pinzani teh