Mchepuko king'ang'anizi

Mchepuko king'ang'anizi

Chai hizi jaman....
Usawa huu.....

Upewe kiwanja...

Dah.... Anyway.
 
Achana nae bwege huyo kachezea bahati. Wakati wewe uko unamtafuta yeye anadengua Leo kaona umri umeenda analazimisha ndoa.
Wanawake wajinga sana hawa wanapotezaga bahati sana tu.
Mimi kuna demu 1 Nilitaka hivyo hivyo akazingua akatoka na mshkaji wangu kisa alikua ana gari kipindi hicho akanitosa Mimi. Kumbe jamaa kicheche hafai. Kamzalia alafu kamuacha,wakati huo na Mimi nishapata wangu wa ukweli nabaki namuangalia tu kabaki nyumbani.
 
Ila huyu kaka nae nimsaliti acha yakutokee wewe unamchumba uyo ulifwata nini pia jua kubali kataa ushavunja moyo Wa imani Na wewe kwa mchumba wako kama alikuamini asilimia 100% jua zimepaki 20% aiseeee wewe kaka inamaana ulishindwa nini kumheshimu mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani tu kwani wewe hujawahi kuchepuka Doris? Sema ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu sijaoa lakini nina mchumba ambaye soon tutaoana. Sasa kuna binti mwaka jana alikuwa anasoma chuo nilimpenda kwa dhati kwa nia ya kumuoa lakini akazingua ni mzuri sana na ilibidi nimtongoze kama miezi 2 hivi siyo kawaida yangu nilipoona mambo bado magumu nikamtema na nikapata mwingine ambaye tumepiga hatua hadi kukaribia kuoana sasa.

Mwaka huu yule binti alianza mazoea hapo ameshamaliza chuo anafanya kazi yaani msg asubuhi, mchana, jioni na usiku. Akipiga simu anataka tukeshe tunaongea na anaomba appointment za kuonana na mimi mara kwa mara papuchi ananipa kama vile nimeoa. Nilistaajabu sana yalipotoka haya mapenzi yasiyojulikana.

Sasa jamani sasaivi anataka ndoa kwa nguvu yaani anadai afe kipa afe beki lazima nimuoe anamzingua hadi mchumba wangu. Nimeshamtia makofi mara 3 lakini aachi. Anajitoa vibaya sana kwangu hadi mshahara wake wote analeta. Majuzi amenunua kiwanja kaandika jina langu nimemwambia sitaki hiyo ni mali yako, ananishauri tuingie miradi ya pamoja na biashara namkatalia.

Nimeshamweleza sina mpango wa kumuoa lakini haelewi anadai nimemchezea na rafiki zake wote wameolewa yeye ataolewa na nani. Sasa namuuliza mbona sikukukuta bikra? Anakosa majibu na nilipotambua ananitega mimba nikaacha kumgegeda.

Nishaurini nimfanyeje huyu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipokuwa anakuzingua kulikuwa na mme mwenzio alikuzidi kete then huyo jamaa kamzingua hivyo ikabidi ajishushe kwako nawe kwa uroho ukaona kipya kinyemi sasa inabidi uoe tu na in short huponi maana umekula vyake vingi na akili zako zimewekwa kwenye chupa.
Hayo ni mapenzi jaza ujazwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nae bwege huyo kachezea bahati. Wakati wewe uko unamtafuta yeye anadengua Leo kaona umri umeenda analazimisha ndoa.
Wanawake wajinga sana hawa wanapotezaga bahati sana tu.
Mimi kuna demu 1 Nilitaka hivyo hivyo akazingua akatoka na mshkaji wangu kisa alikua ana gari kipindi hicho akanitosa Mimi. Kumbe jamaa kicheche hafai. Kamzalia alafu kamuacha,wakati huo na Mimi nishapata wangu wa ukweli nabaki namuangalia tu kabaki nyumbani.
Hawa viumbe ndo walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom