Mchepuko king'ang'anizi

Mchepuko king'ang'anizi

Inatoka unapokuwa kwenye mapenzi kupata rejection unajiuliza kwanini iwe mimi. Baadae unakuta a na mtu anakupenda unajiuliza tena kwanini nilikuwa ninamlilia yule mbwa?
Kutojiamini kunachangia..ukiamini kuwa umepangiwa bahati yako na Muumba basi huwezi kupoteza time kujidhalilisha kwa asiekutaka..huyo mdada ni mjinga kupita maelezo na hafikirii future yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Self value ndiyo tunayoisahau wengi tunapenda kwa moyo, self value can give you pride and confidence that you deserve someone who will treat you better.

Hii inakuja kwa kushirikisha ubongo na moyo kwenye mapenzi
 
Tamaa is another issue lakini genuine love ️ ikifa give your self a break and avoid rebounds
Yeah..that lady is so stupid
How can a brainy do such useless actions..when she'll fell to someone who will sweep her everything and disappear then she will discover how mad she was

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah..that lady is so stupid
How can a brainy do such useless actions..when she'll fell to someone who will sweep her everything and disappear then she will discover how mad she was

Sent using Jamii Forums mobile app
When a man loves a woman, he will make sure has done everything under his power to make her feel comfortable
 
Ila huyu kaka nae nimsaliti acha yakutokee wewe unamchumba uyo ulifwata nini pia jua kubali kataa ushavunja moyo Wa imani Na wewe kwa mchumba wako kama alikuamini asilimia 100% jua zimepaki 20% aiseeee wewe kaka inamaana ulishindwa nini kumheshimu mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu sijaoa lakini nina mchumba ambaye soon tutaoana. Sasa kuna binti mwaka jana alikuwa anasoma chuo nilimpenda kwa dhati kwa nia ya kumuoa lakini akazingua ni mzuri sana na ilibidi nimtongoze kama miezi 2 hivi siyo kawaida yangu nilipoona mambo bado magumu nikamtema na nikapata mwingine ambaye tumepiga hatua hadi kukaribia kuoana sasa.

Mwaka huu yule binti alianza mazoea hapo ameshamaliza chuo anafanya kazi yaani msg asubuhi, mchana, jioni na usiku. Akipiga simu anataka tukeshe tunaongea na anaomba appointment za kuonana na mimi mara kwa mara papuchi ananipa kama vile nimeoa. Nilistaajabu sana yalipotoka haya mapenzi yasiyojulikana.

Sasa jamani sasaivi anataka ndoa kwa nguvu yaani anadai afe kipa afe beki lazima nimuoe anamzingua hadi mchumba wangu. Nimeshamtia makofi mara 3 lakini aachi. Anajitoa vibaya sana kwangu hadi mshahara wake wote analeta. Majuzi amenunua kiwanja kaandika jina langu nimemwambia sitaki hiyo ni mali yako, ananishauri tuingie miradi ya pamoja na biashara namkatalia.

Nimeshamweleza sina mpango wa kumuoa lakini haelewi anadai nimemchezea na rafiki zake wote wameolewa yeye ataolewa na nani. Sasa namuuliza mbona sikukukuta bikra? Anakosa majibu na nilipotambua ananitega mimba nikaacha kumgegeda.

Nishaurini nimfanyeje huyu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikuwa na bwana, katoswa, kakukumbuka.

Kama vipi wape vijana namba wakusaidie kazi.

Wapo wakware kibao humu.
 
ebu mjibu mwenzio vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
Dory hebu sema nimjibu vipi
Maana kwa hili wala sioni haja ya mtu kutaka ushauri..anataka kumualika shetani ndani ya nafsi yake
Usaliti siku zote haumletei mtu maisha yenye baraka..sasa huyu kashakatikiwa kiuno huo ni usaliti kwa mpenzi wake then huyo cheche anamletea mshahara anaopokea na kiwanja atakiandika kwa jina lake..mwanaume hashobokei mambo ya kipuuzi yatakayosababisha kumsaliti mpenzi wake#Rubbish

niulize kwanza unaandika umekunywa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom