Mchepuko king'ang'anizi

Mchepuko king'ang'anizi

kweli wanawake ni wavumilivu yaani mchumba wako amegundua unachepuka, amefamyiwa fujo na huyo mchepuko wako still yuko na wewe anasubiria ndoa
 
kweli wanawake ni wavumilivu yaani mchumba wako amegundua unachepuka, amefamyiwa fujo na huyo mchepuko wako still yuko na wewe anasubiria ndoa
Sio uvumilivu huo tunaita utegemezi wa kihisia. Yaani hana guts za ku break up na huyo mwanaume kwa sababu hio

Upendo ni tiba.
 
Kuwa makini na maamuzi yako. Ya mahusiano kwa hao warembo wako hila Nionavyo mimi kwa Uzoefu wangu mwanamke maringo kwake ni kawaida. Lkn sio kama alikuwa akupendi mchepuko alikuwa anakupenda sana. Mpaka hivi anakupenda sana. Hila mpaka mwisho wa picha muamuzi wewe mwenyewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio tatizo mkuu... kwa nn ulikubali kuruhusu ukaribu na mtu ambae mlishapotezeana siku nyingi, huku unajua wazi kuwa una mchumba? usingeruhusu ukaribu haya yote yasingetokea.... ungemkazia tangu mwanzo alipoleta ukaribu yote haya yasingetokea, usijaribu kucheza na moyo wa mtu... BTW maji ukishayavulia sharti uyaoge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom