Bossmkubwasana
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 138
- 47
WE ZAA NAE KWAN KUZAA MTOTO NNJE NIDHAMBI? ME NAONA HAKUNA TATZO WE ZAANAE AFU UTAMUOWA BAADA YA KUPATA MTOTO
mkuu leta ushauriMMH!
Tatizo tayari nina mke ila huyu amenogewa tu,anataka brandWE ZAA NAE KWAN KUZAA MTOTO NNJE NIDHAMBI? ME NAONA HAKUNA TATZO WE ZAANAE AFU UTAMUOWA BAADA YA KUPATA MTOTO
Mtego huoo...atasumbua tu...kinginee anaweza akategesha mimba huyoo!!!jiangalie mzee baba!!!Nami pia nadhani inaweza kuwa ni mtego wa majukumu
WE ZAA NAE KWAN KUZAA MTOTO NNJE NIDHAMBI? ME NAONA HAKUNA TATZO WE ZAANAE AFU UTAMUOWA BAADA YA KUPATA MTOTO
Kwa nini mkuu?Yupo sahihi
ha ha ha ha ha haya maandiko huwa yanafundisha sana,sema ni uzembe wetu kutokuyafuatiliaKama una namba ya simu ya Samson mnadhiri wa Mungu mpigie umuombe ushauri juu ya wanawake anaweza kukushauri zaidi
Ni kweli mkuu,nashukuru sanaMtego huoo...atasumbua tu...kinginee anaweza akategesha mimba huyoo!!!jiangalie mzee baba!!!
Huo ni mtego bro, be carefullyKatika harakati zangu za hapa na pale,nilikutana na dada mmoja 27yrs ambaye kimuonekano alinivutia sana.Nikatafuta namna ya kuzungumza naye,na nikamuambia kiutani kama ningekuwa single ningemchukua yeye;yeye alicheka tu akasema haina shida tuwe tunabadilishana mawazo tu na tukapeana namba.
Baada ya kama wiki moja hivi aliomba nimthibitishie kweli kuwa nina familia kwa picha,nami nilifanya hivyo tukaendelea kuwasiliana.
Kuna siku aliomba tukutane tujadili mambo ya biashara za hapa na pale,na nilifanya hivyo..baada ya hapo tukawa tunakula na kunywa,na kilichofuata baada ya hapo ni 6 kwa 6.
Sasa anaomba nizae nae angalau mtoto 1 na ananiahidi hawezi kuingilia familia yangu ili mradi tu nimlee huyo mtoto atakayezaliwa.
Nipo njia panda nikiwa na wasi wasi kuwa nikifanya hivyo mambo yanaweza yakabadilika huko mbeleni; nipeni ushauri wakuu,ingawa napenda watoto ila sipendi shari.
Nikweli mkuuDon't try this at home or anywhere kama unataka usalama wa ndoa yako. Yaani hapo ubongo wake unafanya kazi 100% na anajua anachokitafuta. Ila ubongo wako uko 0% kiutendaji kwa sasa na huoni mbele na ni hali ambayo inawatokea wanaume tulio wengi hasa tukiwa tunaona shimo mbele yetu. Ubongo hugoma kazi na kutoweza kupambanua mambo kwa umakini. Zinduka mkuu. Haijawahi tokea mtu akabaki salama kwenye hili jaribu kufuatilia.
Sawa mkuuHuo ni mtego bro, be carefully
Km unataka kujua akili zetu wanawake zikoje basi we zaa nae tu.wananitosha mkuu,changamoto ni huyu wa nje naye anataka nimpatie angalau mmoja
Vipi mkuu,anaweza kufanya mapinduzi?Km unataka kujua akili zetu wanawake zikoje basi we zaa nae tu.
Ila usije kurudi hapa unalia lia na kuomba ushauri tena.
Ni kweli mkuu,ushauri umekuwa ni wa busara na maamuzi ninayoyachukua ni kutokumuachia protein itengeneze mmea.Ila nitakuwa nakula taratibuKwa ushauri uliopewa humu,nadhani sasa umejua nini cha kufanya na huyo mchepuko wako
Ni kweli mkuu,ushauri umekuwa ni wa busara na maamuzi ninayoyachukua ni kutokumuachia protein itengeneze mmea.Ila nitakuwa nakula taratibu
ha ha ha ha unitakii mema mkuuMshirikishe mkeo kuhusu hilo suala la kuongeza familia
Katika harakati zangu za hapa na pale,nilikutana na dada mmoja 27yrs ambaye kimuonekano alinivutia sana.Nikatafuta namna ya kuzungumza naye,na nikamuambia kiutani kama ningekuwa single ningemchukua yeye;yeye alicheka tu akasema haina shida tuwe tunabadilishana mawazo tu na tukapeana namba.