Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
- Thread starter
- #121
ha ha ha ha ha,ingawa wanasaidia maisha yasiwe na stress lakini kuna wakati ni balaaHahahaha, sawa Kazi kwako, kuzimwagia ndani ,nje au kwenye mpira
ha ha ha ha ha,ingawa wanasaidia maisha yasiwe na stress lakini kuna wakati ni balaaHahahaha, sawa Kazi kwako, kuzimwagia ndani ,nje au kwenye mpira
Ni kweli mkuu kuna uwezekano huoUsikubali Ndugu..atakuja kuleta fujo huko mbele....guaranteed!
Maana ake upo tayr kuzaa naeKatika harakati zangu za hapa na pale,nilikutana na dada mmoja 27yrs ambaye kimuonekano alinivutia sana.Nikatafuta namna ya kuzungumza naye,na nikamuambia kiutani kama ningekuwa single ningemchukua yeye;yeye alicheka tu akasema haina shida tuwe tunabadilishana mawazo tu na tukapeana namba.
Baada ya kama wiki moja hivi aliomba nimthibitishie kweli kuwa nina familia kwa picha,nami nilifanya hivyo tukaendelea kuwasiliana.
Kuna siku aliomba tukutane tujadili mambo ya biashara za hapa na pale,na nilifanya hivyo..baada ya hapo tukawa tunakula na kunywa,na kilichofuata baada ya hapo ni 6 kwa 6.
Sasa anaomba nizae nae angalau mtoto 1 na ananiahidi hawezi kuingilia familia yangu ili mradi tu nimlee huyo mtoto atakayezaliwa.
Nipo njia panda nikiwa na wasi wasi kuwa nikifanya hivyo mambo yanaweza yakabadilika huko mbeleni; nipeni ushauri wakuu,ingawa napenda watoto ila sipendi shari.
Wasi wasi wangu ni baada ya kuzaa naye,anaweza kufanya mapinduziMaana ake upo tayr kuzaa nae
Uwezekano upo kwa 100%..hawa viumbe wanabadilika sana...Leo hii atakua mpole tabia njema blah blah...ukingia mtegoni ukampa mimba ataanza Na wew taratibu..siku atakuomba kiasi kikubwa cha pesa..ukigoma atakutishia kuvujisha siri kwa wife...kwahiyo ataitumia hiyo kama fimbo kukukamua pesa anazotakaNi kweli mkuu kuna uwezekano huo
We jaribu tu boss ili upate na uzoefuVipi mkuu,anaweza kufanya mapinduzi?
Upo tayari kuona damu yako inalelewa kwa siri?Katika harakati zangu za hapa na pale,nilikutana na dada mmoja 27yrs ambaye kimuonekano alinivutia sana.Nikatafuta namna ya kuzungumza naye,na nikamuambia kiutani kama ningekuwa single ningemchukua yeye;yeye alicheka tu akasema haina shida tuwe tunabadilishana mawazo tu na tukapeana namba.
Baada ya kama wiki moja hivi aliomba nimthibitishie kweli kuwa nina familia kwa picha,nami nilifanya hivyo tukaendelea kuwasiliana.
Kuna siku aliomba tukutane tujadili mambo ya biashara za hapa na pale,na nilifanya hivyo..baada ya hapo tukawa tunakula na kunywa,na kilichofuata baada ya hapo ni 6 kwa 6.
Sasa anaomba nizae nae angalau mtoto 1 na ananiahidi hawezi kuingilia familia yangu ili mradi tu nimlee huyo mtoto atakayezaliwa.
Nipo njia panda nikiwa na wasi wasi kuwa nikifanya hivyo mambo yanaweza yakabadilika huko mbeleni; nipeni ushauri wakuu,ingawa napenda watoto ila sipendi shari.
Nashukuru sana mkuu,kuna kitu nimejifunza hapaUwezekano upo kwa 100%..hawa viumbe wanabadilika sana...Leo hii atakua mpole tabia njema blah blah...ukingia mtegoni ukampa mimba ataanza Na wew taratibu..siku atakuomba kiasi kikubwa cha pesa..ukigoma atakutishia kuvujisha siri kwa wife...kwahiyo ataitumia hiyo kama fimbo kukukamua pesa anazotaka
ha ha ha ha ha,naogopa kudondoga mkuu, najua kusimama itachukua muda na umri pia unakimbiaWe jaribu tu boss ili upate na uzoefu
Kwa mtazamo wake alisema mtoto akifikisha miaka 5 ndio atataka familia yangu imjueUpo tayari kuona damu yako inalelewa kwa siri?
ha ha ha haJiandae kupeleka matunzo kila mwezi ustawi wa jamii.
Ooh aisee naona unapotea sasa...! Yaani upo tayari kumpa mtu ujauzito sababu tu anapenda!!??Ni kweli mkuu,watoto sio tatizo;changamoto ni pale unapokutana na mtu akapenda umpatie ujauzito/mtoto
Hahahaha, akipata huo 'uzoefu' aje kutusaidia na sisi wengineWe jaribu tu boss ili upate na uzoefu
hawa warembo wananguvu sana,mkiwa wawili tu sehemu iliyojificha unawezajikuta majibu yote yanakuwa ni yes yes tu.Ooh aisee naona unapotea sasa...! Yaani upo tayari kumpa mtu ujauzito sababu tu anapenda!!??
Naona na wewe unaona kuzaa nje ni sifa, ni hilo tu ndiyo linalokusumbua mpaka ukaleta huu uzi hapa!! Ingawa unajua athari zake...ke 1,me 2;hii imetokea tu kwa mtu wa nje naye kupenda kuwa na mtoto na mume wa mtu
ha ha ha ha haya mambo hayaitaji uzoefuHahahaha, akipata huo 'uzoefu' aje kutusaidia na sisi wengine
ha ha ha ha bado najaribu kuchekecha kichwa,faida na hasara zakeN
Naona na wewe unaona kuzaa nje ni sifa, ni hilo tu ndiyo linalokusumbua mpaka ukaleta huu uzi hapa!! Ingawa unajua athari zake...
Mzalishe basi kama unamuonea huruma!
Kabisa yaan, kwnn aandikie mate na wkt wino anao?Hahahaha, akipata huo 'uzoefu' aje kutusaidia na sisi wengine
Hahahahahawa warembo wananguvu sana,mkiwa wawili tu sehemu iliyojificha unawezajikuta majibu yote yanakuwa ni yes yes tu.