Mchepuko anataka anizalie mtoto

Mchepuko anataka anizalie mtoto

Si ajabu ana mimba tayri, anaangalia upepo ukoje!! Mzee huo ni mtego! Uruke futi 100! Kwan mkeo amekosa uwezo wa kuzaa, kama ni mtoto unataka!, we kula sepa zako..
 
Inategemea na akili ya mwanamke na anachokipata kutoka kwako.kuna wanawake yeye maslahi yake yakitimia Hana time na ndoa yako Wala kukusumbua.
Ni wewe tu utahangaika namna ya kuwaweka sawa hao watoto.
Kuna mdada ni mzazi mwenzangu 4 years now hakuna usumbufu wowote.
Mi nikutoa mahitaji tu
 
Inategemea na akili ya mwanamke na anachokipata kutoka kwako.kuna wanawake yeye maslahi yake yakitimia Hana time na ndoa yako Wala kukusumbua.
Ni wewe tu utahangaika namna ya kuwaweka sawa hao watoto.
Kuna mdada ni mzazi mwenzangu 4 years now hakuna usumbufu wowote.
Mi nikutoa mahitaji tu
wazo zuri mkuu
 
Ila usiombe ukakutana na pasua kichwa mkuu.
Ndoa yako kwisha habari yake. Atakusumbua mpaka ukome.
Yaani huyo mtoto wake mmoja ataona wa maana kuliko hao watatu ulionao na mkeo.

Utajuta kukatikia ndani
ha ha ha ha
 
SASA HAYO MAMBO SI UNASOLVE TU MWENYEWE KWA KULIPIMA NDANI YA KICHWA CHAKO MPKA UTELETEE SISI? NIKIMBUSHE HAPO UNATAKA USHAURI WA NINI...?
Kuna siku niliwahi kusema, kuna mambo kama mwanaume inatakiwa ujishauri mwenyewe. Kati ya hayo, na hili linaingia katika kundi hilo. Kuna mambo yanahitaji ushauri wa kichwa cha muhusika tu; maana lolote utakalo shauriwa humu, kwa namna yoyote itakavyokua, mtu wa kubeba ni mlengwa tu. Hutamuona mwana Jf yoyote akisaidia kutua mzigo wako, ndoa ivunjike kisa tu wengi wamepiga kura ya 'azae naye'!?
 
Sio tasa mkuu 3 kids,ndio maana naona maamuzi yanakuwa magumu.
Maamuzi yangekua magumu kipindi unamchagua mke, kati ya A na B nimchague nani? Ila Mungu amekubariki kwa mke aliye kuzalia watoto 3, unataka kubadilisha gear angani. Kati ya vitu vinavyo haribu maisha ya watoto ni hilo unaloshauriwa na huyo bibie ulifanye. Piga ua galagaza lazima ataibomoa ndoa yako kama sio kuisambaratisha kabisa, na hapo watoto wataanza maisha mapya ambayo yanaweza pelekea kuharibu lengo la wao kuzaliwa..
 
kwanza usimle bila CDM's, utakuja juta akiwa na mimba then mtoto,,,,,,wacha kujishauri kwa kutumia kichwa m..oo, utaivuruga familia yako mwenyewe
 
Ni kweli mkuu,hata kama nitaazimia kufanya hivyo nitamtafutia eneo akaishi mkoa mwingine ili niwe naye mbali.
Wewe nae ni kama unataka eti nitampeleka mkoa mwingine

1. Dada amekusoma akili yako na wewe kwa ujinga yaonyesha unamwambia all the plans mnazofanya na wife hivyo wivu unamuingia

2. Anataka a step in slowly kwenye decision making ya familia na njia pekkee ni kuwa na mtoto. Ataanza demand za biashara, kujengewa nk

3. Wanawake ni wajanja kuliko unavyoweza kufikiri trust me akishazaa atatafuta jinsi mkeo ajue ( tumeshaona cases nyingi tu za walioapia kuwa hawatasumbua na wakawa mwiba). Na wanashauriana huko mtaani wengine wanashauriwa na wazazi na mbinu kibao sasa subiri uone

4. Kama una shida na mtoto ndugu kachukue yatima lea ila usijaribu kwa huyu utakuwa na mwiba usiweza vumilika

5. Usilete sononeko kwa watoto na mkeo na ujue sononeko hili litakuandama kwa mikosi.
 
Back
Top Bottom