kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Halafu matumizi ya mifuko hiyo kama kifungashio cha chakula cha moto,ilisemekana no hatari kwa afya,ila naona mama lishe wote wanaitumia kufunikia wali,wapishi wa viazi pia wanafunikia kuzuia mvuke,bila kusahau wauza chipsi wa mjini!
Ifike mahali tfda waache kutisha watu kama wameshindwa kudhibiti hili.
Nilienda stand ya Mwanza karibu na ofisi za tfda,nikapewa ugali uko kwenye mfuko wa plastic,nilipowauliza ni kwanini wanaweka humo wakati imepigwa marufuku,wakasema tfda wenyewe ndio wametuambia tuweke humu kuepuka kipindu pindu!Sasa ninyi tfda,hamkusoma shule moja?