Hili jambo laweza kuwa Kweli ama tetesi ila nchi zipo nyingi ambazo kesi hizi zimeripotiwa na kutatukiwa Kwa umakini bila kuchanganya siasa uchwara na rushwa.
Ila siasa uchwara na rushwa ikiingizwa hapo kwenye hilo jambo basi tegemea jinamizi na fedha Kwa walaji.
Huku TBS na TFDA badala ya kuja na majibu mubashara wao huwa wanasema eti Sisi Kama mamalaka hatujauona wala kukuona huo mchele.
Sasa, najiuliza, wao ndiyo mamalaka husika kuzuia watasemaje tena wao hawajauona wakati wao ndiyo watoa vibali za bidhaa kuagizwa!?
Yah nipo UDOM-CIVE hapo na huo mchela upo ila vviongozi wa chuo wanajitahidi sana kukanusha kuwa hamna ila na mm nilifanya hivyo nikathibitisha kuwa sio mchele wa kawaida..Saivi nimehamia kula ujasi kwa mama bonge,cafe siendi kwa ajili ya kula labda kwenda kuvizia wahudumu🙂🙂🙂🙂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.