Mchele wa plastic waingia UDOM

Mchele wa plastic waingia UDOM

Nilivyoona wali kwenye mfuko wa nylon, nikajua tu hii ni kazi ya mjasi
 
Moja ya habari zilizoshtua zaidi na kufanya vijana waamke usiku huu ni video zinazosambazwa katika whatsapp groups zikionesha chakula cha wali kikigeuzwa vitenesi na kudunda kabisa..

Ikiwa ni mojawapo ya ushahidi kuwa ni mchele wa plastic.....
Mwanzo ilikuwa ni fununu lakiin kwa sasa imekuwa confirmed mchele huu upo ndani ya taifa hili..…

TBS, TFDA mko wapi jamani..........
Vijana huku tutaisha kama kuku.....
Tumechanganyikiwa jamani
Michele wa plastiki haujanza leo umekuwepo kwa miaka mingi sana, matumizi ya mchele huo ni kwenye maandishi ya urembo kwa kutumia kifaa maalum kuunganishia, inawezekana matapeli wamepata shehena hiyo na kuamua kuiuza. Tofauti ya michele hiyo miwili ni uzito ambapo wa plastiki ni mwepesi.
 
Hebu tuelimishe sisi wajinga. Unaongelea plastiki za mchele mchele au mchele wa plastiki? Plastiki inaiva? Hiyo gluten ya kuuvimbisha huo mchele inakaa wapi huko kwenye plastiki? Ukiwekwa kwenye maji unatulia kabisa kwenye sufuria unanyonya maji, chumvi na mafuta? Halafu mlaji anapoweka mdomoni hiyo plastiki inatafunika kwa meno haya haya ya mifupa? Na meno na ulimi wa mtafunaji havishangai vinapeleka tumboni na tumbo linasaga? Nijuavyo tumbo halisagi plastiki. Sasa baada ya kula kuna mtu yeyote unayemfahamu aliyetoka msalani na kusema amejisaidia plastiki aliyokula alivyoimeza?
 
Kuleni utali tu maana mamlaka husika wameshindwa kuzuiaa uingizaji wa mchele hii hapa nchini

Ova
 
Naona ukawa mnatafuta kiki nyingine hampati hata Kwa pikipiki
 
Moja ya habari zilizoshtua zaidi na kufanya vijana waamke usiku huu ni video zinazosambazwa katika whatsapp groups zikionesha chakula cha wali kikigeuzwa vitenesi na kudunda kabisa..

Ikiwa ni mojawapo ya ushahidi kuwa ni mchele wa plastic.....
Mwanzo ilikuwa ni fununu lakiin kwa sasa imekuwa confirmed mchele huu upo ndani ya taifa hili..…

TBS, TFDA mko wapi jamani..........
Vijana huku tutaisha kama kuku.....
Tumechanganyikiwa jamani
Elimu yetu bado sana! Kama walimu wanalipata na mashaka juu ya chakula walichonunua, ila wakaishia kukimwaga nani zaidi wakutuelimisha kuhusu food adulteration na hatua za kuchukua iwapo iwapo mtu atahisi chakula alichonunua kimechakachuliwa?
 
UJINGA TU kama walivyozusha kuwa kuna mdudu mwenye sura ya mtu kwenye mboga za majani.
 
Huo mchele tulikua tunauita kitumbo tumekula sana pale st Aggrey mbeya
 
Kuna mchele ulikuwa unatoka china ulikuwa wa mahindi, unapika robo unatoka sufuria kubwa mbili wakaja wakaupiga marufuku..

Alikuwa ukiitwa KITUMBO. Tumepiga sana miaka hiyo.

Ila huu wa Plastic hapana. Hakuna kitu kama hicho.
 
Huo mchele tulikua tunauita kitumbo tumekula sana pale st Aggrey mbeya
 
Alikuwa ukiitwa KITUMBO. Tumepiga sana miaka hiyo.

Ila huu wa Plastic hapana. Hakuna kitu kama hicho.
Huu wa plastic sijawah kuuona, kama yupo mwenye picha aiweke hapa tuushuhudie kwa macho...

Halafu sasa utakuta umetoka nje umepitia bandarini kuna TBS na TFD hawajauona
 
N kweli ndg amin usiamin huu mchezo kwa ss uko udom maana toka Jana watu wanarusha clip za kuthibitisha hilo
 
N kweli ndg amin usiamin huu mchezo kwa ss uko udom maana toka Jana watu wanarusha clip za kuthibitisha hilo
Kama na wewe uko UDOM basi hii nchi inaelekea shimoni

Hivi video clip inaweza kuthibitisha kitu ni plastic au laah?

Mmeripoti TFDA?Mmeripoti kwa uongozi wa chuo?
Duh n hatar ndg zangu mungu atuokoe na hili swala
 
Back
Top Bottom