Mchele toka Pakistan unahitajika kwa wingi

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,006
120,272
Nimekutana na wanunuzi toka Rwanda wanahitaji mchele toka Pakistán mchele wenyewe uwe grade 2...ni ule uliyoandikwa 15% broken rice...
Package ya kila mfuko uwe 20 kg
Kwa wiki unahitajika hata ton 100

Kama yupo mtu mwenye kujua suppliers wa mchele huu tuwasiliane maana nmekutana na wanunuzi wa huu mchele...
Namba yangu ni 0715591141 tuwasiliane tuyajenge...

Ova
 
Sidhani kama wapakistani wapo humu ila vumilia kidogo mchele wa Moro na kyela unaanza kuvunwa next month
 
Back
Top Bottom