Mchawi aliyebobea anatakiwa!

Mchawi aliyebobea anatakiwa!

Akriiii.....nimeingia nipo hapa.../ ewe mwanadamu nini tatizo lako...lako...lako....lako?...chafya chafya chafya.....pyuuuuu..../
 
mbishi.d asante sana hao jamaa wa Ludewa kweli watafaa. Hivi Lizaboni na Wakudadavuwa hakuna mahali mnajua kuna watu wanaoweza kunisaidia. Nicholas huko Arusha hakuna mtu anayeiweza hii shughuli? Ningependa FaizaFoxy kama kuna watu wale wataalum wa kufuga majini uniunganishe nao ama kama unawafahamu wa mlingotini au kaole kule Bagamoyo utanielekeza.

Unahangaika wakati mapepo yamejaa makanisani. Wachungaji wote wachawi si ndiyo maana mambo yote ya laana utawakuta nao wao, kuanzia kulawitiana wenyewe kwa wenyewe mpaka kuharibu watoto.
 
Amrogeee au amtibu?!!! Mbona hujui kutofautisha!!!
 
FaizaFoxy mimi sitaki mapepo nataka mtu mwenye uwezo wa kutuma majini, Tena nataka yale majini masafi ili jamaa awe na tabia ya kupenda vitu visafi!!
 
Amrogeee au amtibu?!!! Mbona hujui kutofautisha!!!
Amloge. Kwani wewe unadhani kulogwa ni jambo hasi peke yake hata jambo chanya pia kulogwa kupo!! Wewe hujasikia watu wanasema kuwa uchawi wa mwanamke ni sauti yake? Sasa wanawake hutumia sauti zao kwa jambo baya peke yake?

Lupyeee naomba uje unisaidie natafuta mchawi!!
 
Watakuja, wiki hii walikua wana update knowledge, nadhani kuanzia kesho utawapata na kazi yako itimie
 
Mkuu inabidi uwatafute wale waliyomweka jamaa fulani chooni bila kujijuaa...

Ova
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] nilijua tu sitasalimika kwenye hii post
Teh teh teh!
Kuwafahamu siyo kosa mkuu, kushiriki shughuli zao za kichawi ndio inaweza kuleta ukakasi wa kimaadili.

Naamini hata kuwapa kazi ya kufanya kwa niaba yao wenyewe haiwezi kuwa kosa kiiiivyo!!! Ukizingatia aina ya ugonjwa wa mgonjwa aliyeripotiwa na mleta uzi.
 
Crocodiletooth usije huku niulize wapi alipo nikuelekeze!!
***
Hii Kali sana.../ forbidden...
***

shirkiya+taweez+ohallah.png.jpg
 
Teh teh teh!
Kuwafahamu siyo kosa mkuu, kushiriki shughuli zao za kichawi ndio inaweza kuleta ukakasi wa kimaadili.

Naamini hata kuwapa kazi ya kufanya kwa niaba yao wenyewe haiwezi kuwa kosa kiiiivyo!!! Ukizingatia aina ya ugonjwa wa mgonjwa aliyeripotiwa na mleta uzi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] watu siku hizi wanapotea kimyakimya
 
Amloge. Kwani wewe unadhani kulogwa ni jambo hasi peke yake hata jambo chanya pia kulogwa kupo!! Wewe hujasikia watu wanasema kuwa uchawi wa mwanamke ni sauti yake? Sasa wanawake hutumia sauti zao kwa jambo baya peke yake?

Lupyeee naomba uje unisaidie natafuta mchawi!!
Maana bado inabaki palepale. Kuroga ni kuathiri kitu/mtu mzima,kutibu ni kuondoa tatizo
 
Back
Top Bottom