Mchawi aliyebobea anatakiwa!

Mchawi aliyebobea anatakiwa!

Maana bado inabaki palepale. Kuroga ni kuathiri kitu/mtu mzima,kutibu ni kuondoa tatizo
Kwa kawaida kuathirika kuko chanya na hasi na tatizo ni kwa jinsi mtu anavyoliona jambo. Siyo kila tatizo ni tatizo. Kuna watu wanapenda uzinzi na wanaona siyo tatizo ila ndugu na marafiki zao huona hilo ni tatizo na njia rahisi ni kuwaloga waache uzinzi.
 
Conclusion: binadamu tuna mtazamo tofauti katika kitu kilekile
 
Back
Top Bottom