Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TU
View attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349