kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Nimechelewa kuja jamvini... Hebu nicheke kwanzaWewe ndo huyo mwenye kofia ya sisiem

Daah
Nimechelewa kuja jamvini... Hebu nicheke kwanzaWewe ndo huyo mwenye kofia ya sisiem

hehee kama yale mtu anazungukwa na nyuki mkononi au mguuni eti ameiba kumbe utapeliwa sayansi ya nyukiYanakua kaka yale ya Mlandizi eti mtu kanaswa na gunia la mahindi limegoma kutoka baadae ikaonekana ni utapeli

Tukifanikiwa kutengeneza vifaa vya kisasa ambayo vinaenda speed ya ungo wa mchawi, basi Dunia nzima itatuogopa,Kamwene, mbona mweusi hivyo au teja alifanya yake chombo kikalipuka !
Ungo unabidi uchukuliwe kama nyala za serikali, wataalam wetu wapewe wafanyie kazi hiyo technology inaweza kutusidia kama taifa uko mbeleni. Hebu tafakari kwa baridi ya Iringa lakini mama yuko mgongo wazi ina onesha chombo kina heating system.
Fikilia una jeshi linalopaaa kwa ungo, unaweza kwenda shambulia popote pale duniani.
Me nahitaji sana ako kachombo na zana zake za mashambulizi naweza pata wapi
Una kichwa kizito. Kuna vitu unaji-contradict. Iko hivi uchawi upo lakini kadri dunia inavyoenda watu wanabuni mambo ndani ya mambo. Kinachofanyika dunia ya leo people do create problems kwa makusudi iwe kichawi, kisayansi kwa lengo la kupata pesa kwa kulitatua kwa kujua hakuna namna nyingine ya kujinasua. Uchawi upo na utakuwepo. Na utapeli kupitia ushirikina na uchawi pia upo. Fanya akili yako ielewe.Hilo ni igizo kama la yule mwizi aliyeshindwa kushusha kiroba cha mahindi mgongoni hadi pale aliyeibiwa alipoitwa kituoni kumtua kiroba cha wizi, halafu baadae akataja na za simu za mganga aliyempa tego la wezi, na hiyo kanuni ya kusema hutakaa uone ndiyo inatumika kutepeli watu hata makanisani..
Kuna mpuuzi mmoja pale Mbezi round about ya Goba alikuwa kila siku anaweka speaker lake afu anatangaza "LEO MTAMUONA MCHAWI ANAPAA NA UNGO" Nilikuwa kila siku jioni nikirudi nawauliza wale washkaji wenye vibanda kama wamemuona mchawi akipaa na ungo? Wanasema no! Kila siku mchezo huo huo! Nikaenda kumreport POLICE kwa utapeli!Na hiyo ndio kanuni itakayotumika kutapeli watu kwa visivyothibitika
Naongelea this case inparticular, wewe unazungumzia generalised issuesUna kichwa kizito. Kuna vitu unaji-contradict. Iko hivi uchawi upo lakini kadri dunia inavyoenda watu wanabuni mambo ndani ya mambo. Kinachofanyika dunia ya leo people do create problems kwa makusudi iwe kichawi, kisayansi kwa lengo la kupata pesa kwa kulitatua kwa kujua hakuna namna nyingine ya kujinasua. Uchawi upo na utakuwepo. Na utapeli kupitia ushirikina na uchawi pia upo. Fanya akili yako ielewe.
Ok. Nimekupa thanks. Ila based on your former comments, it is seeing unakataa kwamba hakuna kabisa haya mambo ktk muktadha mwingine wa nje ya circle ya tukio.Naongelea this case inparticular, wewe unazungumzia generalised issues
Waguma! Wa nyumbani wewe mzee wa kukomenti 'aiseee' umemalizaAiseee
Kamwene, mbona mweusi hivyo au teja alifanya yake chombo kikalipuka !
Ungo unabidi uchukuliwe kama nyala za serikali, wataalam wetu wapewe wafanyie kazi hiyo technology inaweza kutusidia kama taifa uko mbeleni. Hebu tafakari kwa baridi ya Iringa lakini mama yuko mgongo wazi ina onesha chombo kina heating system.
Fikilia una jeshi linalopaaa kwa ungo, unaweza kwenda shambulia popote pale duniani.

ndaga fijoHalafu ngoma haionekani kwenye rada zaoKamwene, mbona mweusi hivyo au teja alifanya yake chombo kikalipuka !
Ungo unabidi uchukuliwe kama nyala za serikali, wataalam wetu wapewe wafanyie kazi hiyo technology inaweza kutusidia kama taifa uko mbeleni. Hebu tafakari kwa baridi ya Iringa lakini mama yuko mgongo wazi ina onesha chombo kina heating system.
Fikilia una jeshi linalopaaa kwa ungo, unaweza kwenda shambulia popote pale duniani.
Kabla ya Kutoka kuwanga huwa kwanza wabajipaka Hivyo Tena huyo hajajikoleza vizuri.Kawaida unavua nguo unajisiliba hasa mwili mzima unakuwa mweusi ti ndipo safari inaanzaKamwene, mbona mweusi hivyo
Hapana yeye ndo ana piga picha sasa sijui na yeye kaka wapi nahisi kwenye ungo!Angalia hiyo picha juu kibaraza imepigwa na drone!Wewe ndo huyo mwenye kofia ya sisiem
Hakuna kitu kama hicho..
Hio ni show tu imeandaliwa na mwenye nyumba...tena inawezekana mwenye nyumba ni mganga au mchungaji anajitangaza tu ili apate wateja...