Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.

Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.

Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.

WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Hi Ni cinema tu.Mchawi akitaka kupaa usiku mwili wake anauacha kitandani. Kinacho paa ni kivuli chake ambacho hakina mwili wa nyama.

So hata Mchawi Aki " kwama" kwenye mji wa mtu kama baadhi ya watu mnavyo aminishwa including wewe ulie tengeneza sinema hii, hawezi kuonekana kwa macho ya nyama.

So huu ni mchezo tu. Mwenye nyumba anatakiwa akamatwe Mara moja na.kuhojiwa amekusudia kufanya jambo gani?
 
Endeleen kutoamin mpaka waje wawakabe kwanza,
Nimewahi tangaza hadi dau mtu aje kunikaba nikiwa ninefunga mlango..
Asibomoe mlango ,aingie tu kimiujiza.

Lakini hakuna aliyekuja..
Hata kama wewe unaweza hio mambo dau bado lipo.. njoo unikabe pesa unaondoka nayo
 
Wizara ya utamaduni iwaboreshee tu mazingira kuwe na aina mbili za usafiri wa anga
 
Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.

Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.

Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.

WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Wabena Mungu anawaona.

Kutoka 22:18 '' Usimwache mwanamke mchawi kuishi.''
 
Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.

Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.

Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.

WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Watu wapo location kushoot movie mpya ya bongo.
Tokea lini Mchawi akatake off akiwa na nguo zake?
Mshana Jr ukuje huku utuambie kama huyu ni original au wa kichina
 
Safi, tuutumie kuzalisha mfano kukoboa mpunga jwa uchawi, kuvuna kwa uchawi, usafiri tutumie mabeseni tu kwenda sehemu mbali mbali kwa dk chache kbs au tucheki mfano mzuri katika #HarryPorter
Ili uwe kitu kizuri tuutumiaje
 
Mi kitu kinachonipa fikra ni ile kasi kwenye kuhimili upepo. Pikipiki tu inaenda speed ya 120km\h lakini machozi yanatoka kwa upepo. Je hii inayoenda lindi to mwanza na kurudi kwa usiku mmoja anahimili vipi huo upepo
 
Yah hii ndiyo asili yetu lazima tujivunie,Hawa wetu ndiyo Wataalamu wa kwanza Duniani lakini kila siku tunawabeza,.Nimpongeze tu huyo Dada kuwa na Technology ya kuruka bila kutumia Umeme wala Mafuta,Big up Sister.
 
fb_img_1566111916425-jpeg.1184349
Yaani kwa staili hiyo aliyolala ningempandia hapohapo juu ili nioshe rungu kabla watu hawajafika
 
Kamwene, mbona mweusi hivyo au teja alifanya yake chombo kikalipuka !

Ungo unabidi uchukuliwe kama nyala za serikali, wataalam wetu wapewe wafanyie kazi hiyo technology inaweza kutusidia kama taifa uko mbeleni. Hebu tafakari kwa baridi ya Iringa lakini mama yuko mgongo wazi ina onesha chombo kina heating system.

Fikilia una jeshi linalopaaa kwa ungo, unaweza kwenda shambulia popote pale duniani.
Tunaweza tumia kusafirisha wagonjwa mahututi haraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom