Hahahahahaha hadi rahaHii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Landing Emergency, sasa usoni amepaka Make up ya kichawi,au camouflage?
Sidhan kama kweli huyu kadakwa na nguoc wanasema sharti uwe uchi ndo upae... mbona kajigagula hyo maza
Kwenye mambo ya uchawi-uchawi lazima umuone mtu wa sisiem.. hahaWewe ndo huyo mwenye kofia ya sisiem
We unaamini hizo porojo, au umeuona huo ungo ukipaa hata siku moja?Hii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Unataka kuniambia hicho ninachokiona ni Photoshop?? Tell me bro.We unaamini hizo porojo, au umeuona huo ungo ukipaa hata siku moja?
Huo ungo hapo umepaa??? Au mi nina makengeza? Huo ungo si umekaa juu ya slab ya zege ya kibaraza..., au???!!!Unataka kuniambia hicho ninachokiona ni Photoshop?? Tell me bro.
Wakati wengine wanajipaka make up waende kwenye sherehe mbalimbali kuna wapumbavu wengine wanajipaka majivu ili wapae usiku.Hii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Achana na huyo mchawi,hilo likofia lako tu limeharibu utam wa hii post yako yote😬
Mwisho wa mwezi twende kwa babuHii kitu mi huwa natamani sana ku-prove manake sie wengine tumechanjia ubishi! Hivi haiwezekani mtu kukupa hayo maujanjahalafu ukapaa?!
Halafu Miafrika sijui tumefeli wapi!! Sasa hiyo teknolojia kama ipo si wangei-improve ili iwe inapigisha watu trip za Ulaya kwa njia za panya?! Yaani wale jamaa wanaojazana kwenye mitumbwi kule North Afrika ili kwenda kwa Mzungu, ingekuwa wanapigishwa trip kwa nyungo tu; hakuna cha boda wala hofu ya kukamatwa na askari! Biashara ikikomaa, unaweza kambi Mexico kupigisha Spanish trip za kuingia kwa Trump! Border Patrol wangebaki kukamata shangazi zao tu!!!
Huwezi kuwaona wakipaa na ungo kwa macho ya kawaida...We unaamini hizo porojo, au umeuona huo ungo ukipaa hata siku moja?
Hahahhahaaa aliyekwambia huyo ni mm nanAchana na huyo mchawi,hilo likofia lako tu limeharibu utam wa hii post yako yote![]()
Huyo amekwama akiwa katika safari zake.. Kuna vitu vingine hutakaa uvishuhudie mpaka unakufa kwa kupitia macho ya nyama, lakini unatakiwa uamini kama vipo.Huo ungo hapo umepaa??? Au mi nina makengeza?
Wamarekani waliiba hii teknolojia na kutoa 'drones'Hii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Hakuna kitu kama hicho kwanza Mchawi akisafiri usiku mwili wake anauacha kitandani kwake roho ndio inayo paa..Hiyo ni cinema.hakunaga kitu kama hichoHakuna cha mganga wala nn, huyo kapita anga lenye nguvu zaid yake , Gravitation force ikamvutia chini