Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Aisee kuna uhusiano kati ya Umaskini, Ufukara, Ujinga na Uchawi.
 
Kuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.

Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.

Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.

WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
MWILI WOTE UNAENEA KWENYE HAKO KAUNGO???
 
Hapa RRONDO alisema ukiwa kwenye mwendo unao utaka utumie Cruise control..tatizo bi dada akaamua kujitia ujuaji

Hiyo lexus ya bi mdada sio ya kitoto mjue,sijui wakati wenzake tukifundishwa matumizi ya cruise ye alikua wapi

Matokeo ya ku dodge vipindi hayo...Haya msaidie mwenzenu brake down ije maana kakwamia Pabaya.
 
Hakuna kitu kama hicho..
Hio ni show tu imeandaliwa na mwenye nyumba...tena inawezekana mwenye nyumba ni mganga au mchungaji anajitangaza tu ili apate wateja...
Ukweli mtupu kwa asilimia 300%
 
Uzuri wa ndege hizi za kienyeji "ungo" ni kwamba, hata kama una madeni kiasi gani hawawezi kuikamata ndege.
Na wakiikamata, tunawaachia then tunakwenda na nyingine tena! Kwa sababu hizi ndege zipo nyingi sokoni 🤣
 
Leo lilikuwa ni kuongeza idadi ya waumini kwa mchungaji.
 
Niliwaambia hayo ni maigizo jama nimesikia kwny taarifa ya kina millard Ayo amplifaya polisi wakisema walidanganya.
Waendelee tu kudanganya huo kamanda awafungulie mashitaka wote mpaka waumini wake huyo Mchungaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom