Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Hii kitu mi huwa natamani sana ku-prove manake sie wengine tumechanjia ubishi! Hivi haiwezekani mtu kukupa hayo maujanjahalafu ukapaa?!

Halafu Miafrika sijui tumefeli wapi!! Sasa hiyo teknolojia kama ipo si wangei-improve ili iwe inapigisha watu trip za Ulaya kwa njia za panya?! Yaani wale jamaa wanaojazana kwenye mitumbwi kule North Afrika ili kwenda kwa Mzungu, ingekuwa wanapigishwa trip kwa nyungo tu; hakuna cha boda wala hofu ya kukamatwa na askari! Biashara ikikomaa, unaweza kambi Mexico kupigisha Spanish trip za kuingia kwa Trump! Border Patrol wangebaki kukamata shangazi zao tu!!!
Hahaaaaaaaaa tungekuwa ulaya tunaenda asubuhi na kurudi jioni
 
Watafute wachawi wakufundishe ila ukipita kwangu lazima unase
Mi siamini bhana, na kama nikimfahamu huyo mchawi anayeweza kufanya hayo, wallah nitamwambia anipe lift siku moja nikiwa najitambua ili nithibitishe!
 
Hii kitu mi huwa natamani sana ku-prove manake sie wengine tumechanjia ubishi! Hivi haiwezekani mtu kukupa hayo maujanjahalafu ukapaa?!

Halafu Miafrika sijui tumefeli wapi!! Sasa hiyo teknolojia kama ipo si wangei-improve ili iwe inapigisha watu trip za Ulaya kwa njia za panya?! Yaani wale jamaa wanaojazana kwenye mitumbwi kule North Afrika ili kwenda kwa Mzungu, ingekuwa wanapigishwa trip kwa nyungo tu; hakuna cha boda wala hofu ya kukamatwa na askari! Biashara ikikomaa, unaweza kambi Mexico kupigisha Spanish trip za kuingia kwa Trump! Border Patrol wangebaki kukamata shangazi zao tu!!!
Nipo hapa kukuonyesha wachawi,pamoja na misukule.
 
Kamwene, mbona mweusi hivyo au teja alifanya yake chombo kikalipuka !

Ungo unabidi uchukuliwe kama nyala za serikali, wataalam wetu wapewe wafanyie kazi hiyo technology inaweza kutusidia kama taifa uko mbeleni. Hebu tafakari kwa baridi ya Iringa lakini mama yuko mhongo wazi ina onesha chombo kina heating system.

Fikilia una jeshi linalopaaa kwa ungo, uaweza kwenda shambulia popote pale duniani.
 
Hivi wachawi wanashindwa nini kuingia benki usiku na kuiba mpunga?
 
c wanasema sharti uwe uchi ndo upae... mbona kajigagula hyo maza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom